Boda boda wasaliti UKAWA

Boda boda wasaliti UKAWA

CCM tayari ashashinda na mie sina wasiwasi tena ..sayansi haidanganyi
 
Vijana kunyweni mafuta ya CCM kura kwa kamanda Edo Lowassa CCM escrow oyeeeee
 
bodaboda walidhani Lowassa kabadilika kumbe ni yuleyule, bodaboda wameshtuka elfu kumikumi zingewatokea puani bora mmeshtuka mkakata kona..... Magufuli ndo mgombea mwenye nia nzur na wananch
 
Back
Top Bottom