Boda boda wasaliti UKAWA

Boda boda wasaliti UKAWA

makoko jumanne

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
584
Reaction score
164
Nimesikitishwa sana na taarifa kuwa umoja huu wa UKAWA umesalitiwa na bodaboda baada ya kugundua kuwa umoja huo unaangalia maslahi ya viongozi wa juu wa umoja huo na si kuwainua wananchi wa kipato cha chini. Hivyo vijana hao wameapa kuwa wataendelea kuchukua fedha wanazopewa na UKAWA kama rushwa ili waweze kuwachagua kuingia madarakani.

Vijana hao wamesema kuwa sh.5000/ wanazolipwa watazichukua na watapigia kura mgombea mchapa kazi, mwadilifu na mzalendo.

Nami nimeona ni vyema nililete kwa wadau, kwa kuwa maeneo mengi niliyopita vijana hawa wamesema wamechoka ahadi za UKAWA ambazo kimsingi ni danganya toto.
 
Hawajawasaliti Mkuu, Wameshtuka mapema na wamegundua janja yao. Sasa wamejitambua. Hongereni waendeshaji wa Bodaboda.
 
Du vijana wenzangu kweli mmeAmka kwa sasa kama boda boda wamemgeuka mamvi katika maeneo mengi hapa nchini hii ni dalili njema kuwa tumeamka na tunajitambua,kura kwa kiongozi mchapakazi,mzalendo,mwadilifu na anayejali maslahi ya Taifa,John POmbe Magufuli
 
JAPO MAMVI ATASHINDWA..
KIUKWELI CCM ITAKUWA IMEONJA JOTO LA JIWE.
WATANZANIA WATAANZA KUFURAHIA KEKI CHINI RAIS#magufuli
 
Du vijana wenzangu kweli mmeAmka kwa sasa kama boda boda wamemgeuka mamvi katika maeneo mengi hapa nchini hii ni dalili njema kuwa tumeamka na tunajitambua,kura kwa kiongozi mchapakazi,mzalendo,mwadilifu na anayejali maslahi ya Taifa,John POmbe Magufuli

Mnajitekenya na kisha mnaanza kucheka wenyewe,hao bodaboda ni wakijiwe gani?,labda bodaboda wakwenye nyeti zako.
 
Nimesikitishwa sana na taarifa kuwa umoja huu wa UKAWA umesalitiwa na bodaboda baada ya kugundua kuwa umoja huo unaangalia maslahi ya viongozi wa juu wa umoja huo na si kuwainua wananchi wa kipato cha chini. Hivyo vijana hao wameapa kuwa wataendelea kuchukua fedha wanazopewa na UKAWA kama rushwa ili waweze kuwachagua kuingia madarakani.

Vijana hao wamesema kuwa sh.5000/ wanazolipwa watazichukua na watapigia kura mgombea mchapa kazi, mwadilifu na mzalendo.

Nami nimeona ni vyema nililete kwa wadau, kwa kuwa maeneo mengi niliyopita vijana hawa wamesema wamechoka ahadi za UKAWA ambazo kimsingi ni danganya toto.

Umbea wa wikiendi.

Vipi shoga yako mwanakijiji naye keshatupia umbea wake?
 
Nimesikitishwa sana na taarifa kuwa umoja huu wa UKAWA umesalitiwa na bodaboda baada ya kugundua kuwa umoja huo unaangalia maslahi ya viongozi wa juu wa umoja huo na si kuwainua wananchi wa kipato cha chini. Hivyo vijana hao wameapa kuwa wataendelea kuchukua fedha wanazopewa na UKAWA kama rushwa ili waweze kuwachagua kuingia madarakani.

Vijana hao wamesema kuwa sh.5000/ wanazolipwa watazichukua na watapigia kura mgombea mchapa kazi, mwadilifu na mzalendo.

Nami nimeona ni vyema nililete kwa wadau, kwa kuwa maeneo mengi niliyopita vijana hawa wamesema wamechoka ahadi za UKAWA ambazo kimsingi ni danganya toto.

Ahadi za UKAWA na za CCM za miaka 39 ni zipi zimechosha watu.
Pigeni propaganda wee, but you are gone'
 
Naona mnajuhudi za kujitengenezea ka uzi kenu afu mna comment hahahahahaha hata mtu akiwa anakata roho anakua anakurupuka kurupuka kama nyie shame on u
 
Ccm mmozea kudanganya kila kitu nyie porojo tu hao bodaboda ni wale wa kwenu na sisi tunao wa kwetu
 
Leo mwanza boda boda wakipigwa full tank na kipande cha 10,000 cha boss
 
Attachments

  • 1445078229656.jpg
    1445078229656.jpg
    72.9 KB · Views: 337
Du vijana wenzangu kweli mmeAmka kwa sasa kama boda boda wamemgeuka mamvi katika maeneo mengi hapa nchini hii ni dalili njema kuwa tumeamka na tunajitambua,kura kwa kiongozi mchapakazi,mzalendo,mwadilifu na anayejali maslahi ya Taifa,John POmbe Magufuli

Samaki huvuliwa kwa nyavu zile zile na ndoano zile zile miaka nenda rudi; wenye vichwa vya samaki watajiona wamesalitiwa kabla wasaliti halisi hawajaingia madarakani kuendeleza mila ya ahadi hewa. Ahadi za trilioni 63 na trilioni 28 zipi rahisi kutekelezeka hadi mtu ajione amesalitiwa?
 
Back
Top Bottom