Boda boda aina ya fekon

Boda boda aina ya fekon

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Bado sijapata mteja ile boda boda yangu nahitaji laki tisa tu !! Imetumika miezi 8 haina tatizo lolote, kadi ipo !! Sababu ya kuuza ni kwamba ninahitaji pesa ya ada ya chuo !! Ambaye yuko serious ani pm tufanye biashara ...nawasilisha
 
Kwann usiunganishe kwenye uzi wa awali?
 
Nainunua kwa laki 8 lkn nakupa kwanza laki 5 unabaki na kadi nikimaliza unanipa kadi yangu kama upo tayali nicheki
 
iko wapi? Picha? Mi Niko Dar 0764800989, ielete kesho tumalize biashara
 
Back
Top Bottom