Bobi Wine ana nyota inayong'aa kuliko mtu yoyote duniani kwa sasa

Alishinda zaidi ya asilimia 97 sema hakutangazwa, nikama tu hapa Tanzania Dunia nzima inajua tundu lissu antipas alishinda kwa kishindo

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

kushinda ni jambo lingine na kutangazwa ni jambo lingine..... TL huyu huyu wa ubelgiji ndio alishinda ule uchaguzi.... hahahahaha...tuendelee kuishi kwa matumaini.
 
kushinda ni jambo lingine na kutangazwa ni jambo lingine..... TL huyu huyu wa ubelgiji ndio alishinda ule uchaguzi.... hahahahaha...tuendelee kuishi kwa matumaini.
Kwann hawakutaka matokeo yahojiwe, kwann walizuia international forum zichunguze matokeo ya uchaguzi, kwanin walifunga internet service na social media, kwann walikuwa wanawaengua mawakala upande wa opposition. Jiongeze usiwe na akili ya bendela kijana

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Never argue with a fool, they will drag you down to their level and then beat you with experience " Thanks to Mark Twain"

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Jifunze kingereza sio unatumia gogle translate nyie mijitu ya porini mna matatizo sana.Kwa hiyo hapo unavimba unajiona msomi kwa kingereza cha kudownload.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwann hawakutaka matokeo yahojiwe, kwann walizuia international forum zichunguze matokeo ya uchaguzi, kwanin walifunga internet service na social media, kwann walikuwa wanawaengua mawakala upande wa opposition. Jiongeze usiwe na akili ya bendela kijana

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Matumizi ya social media Africa kwa kiasi kikubwa ni mabaya.....wengi walio kwenye social media hawajui mipaka ya uandishi wao...kuna wakati watu hutumia uhuru vibaya kuleta machafuko.... kupitia hizo hizo social media maadui wa Taifa lako wanapenyeza agenda zao ili kufanikisha mambo yao...

Tujifunze kwanza matumizi bora na sahihi ya social media halafu ndio tuanze kulalamika....Unasahau kuna mwaka Social Media zilitangaza Rais wa nchi amekufa wakati sio kweli na nchi nzima ikawa kwenye taharuki, umesahau kupitia social media Tundu Lisu alitutangazia kifo cha JPM ilihali mamlaka ndio zinapaswa kutangaza msiba, Unasahau Tundu Lisu alitutangazia kifo cha mlinzi wa JPM ilihali yuko hai?...

Yote yote, Katiba ya sasa ya Tanzania hairuhusu kuhoji matokeo ya Urais mahakamani, kiukweli hii imetusaidia kuondoa malumbano yasiyo na maana huku nchi ikikaa muda mrefu haina Rais, umeona Kenya waliamua kutumia Busara tu maisha yaende..

Demokrasia ya Ulaya kwa Wazungu haiwezi kufanya kazi Africa, tunapaswa kuwa na Demokrasia sahihi kwetu sisi...
 
Anajulikana hivyo ila JINA lake halisi ni Robert sentam kyagulanyi, ni mwanasiasa mwenye ushawishi na mvuto mkubwa nchini Uganda
Mwaka huu aliweza kugombea urais nchini Uganda kupitia Chama cha national unit platiform (NUP), japo alishinda zaidi ya asilimia 97 kwa mujibu wa amnesty international lakini hakutangazwa kama ilivyo kawaida ya nchi zetu za kiafrka.
Hayo juu ni machache tu lakini umaarufu wake umekuwa ukienda kasi zaidi kuliko zaidi ya mwanasiasa yeyote yule nasikwamwanasiasa tu bali hata wanamichezo, na watu mashuhuri duniani hawaoni ndani
Shirika la Habari la finance times, the guardian, na the new York times limemtaja bobi wine kuwa the first most influential person in the world, hii inamana hata Ronaldo, Oprah Winfrey, yousafzai malala, n. k wanafyata mkia.
Tukipata watu wawili kama Hawa Africa imekombolewa
"muwa siyo Tunda ni....? View attachment 2049091

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app

Kama Wakibaki Na Maono Yao Ya Sasa Wasipo Kengeuka Au Kukengeushwa Na Mbeberu
 
Kuanzia mwaka 1995 ccm haijawahi kushinda zaidi ya wizi wa kura
Kwanini hasira tunazifuga mtaani mwizi wananuangushia HASIRA KALI

20211218_153725.jpg
 
Back
Top Bottom