Bobi Wine ana nyota inayong'aa kuliko mtu yoyote duniani kwa sasa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Anajulikana hivyo ila JINA lake halisi ni Robert sentam kyagulanyi, ni mwanasiasa mwenye ushawishi na mvuto mkubwa nchini Uganda
Mwaka huu aliweza kugombea urais nchini Uganda kupitia Chama cha national unit platiform (NUP), japo alishinda zaidi ya asilimia 97 kwa mujibu wa amnesty international lakini hakutangazwa kama ilivyo kawaida ya nchi zetu za kiafrka.
Hayo juu ni machache tu lakini umaarufu wake umekuwa ukienda kasi zaidi kuliko zaidi ya mwanasiasa yeyote yule nasikwamwanasiasa tu bali hata wanamichezo, na watu mashuhuri duniani hawaoni ndani
Shirika la Habari la finance times, the guardian, na the new York times limemtaja bobi wine kuwa the first most influential person in the world, hii inamana hata Ronaldo, Oprah Winfrey, yousafzai malala, n. k wanafyata mkia.
Tukipata watu wawili kama Hawa Africa imekombolewa
"muwa siyo Tunda ni....?
images%20(30).jpg

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
"muwa siyo Tunda ni....? View attachment 2049091

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Uwa wanatusifu tu kama walivyosema kwamba Lupita Nyongo ndo mwanadada mwenye mvuto kuliko wote kpindi kile.
CR7 ni maarufu kuliko hata maraisi wetu
 
Unaleta ubishi usiofaa, cr7 hana ushawishi kumzidi bobi wine ngoja nikuletee link

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sihitaji link, naongelea tu kwa jinsi bwana CR7 alivyo na impact kwa dunia nzima tu.
Kama kuna mtu ambaye nadhani kwasasa ni influencial zaidi atakuwa Elon Musk.
Tweets zake zinafanya hisa zipande au zishuke, zinafanya cryptocurrency zipande au zishuke.
Ni influencial kila kona mpaka Russia, mpaka china yani ni modern day steve jobs
 
Back
Top Bottom