kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Asante mkuu nimekuelewa saana mkuuHawa wawili huwezi kuwangalinganisha, kwa sababu kila mmoja ana ubora wake kwa staili yake na wanatofautiana zama. Kila mmoja anasimama kama Legend wa reggae. Kuna Ma-Legend wengi kwenye reggae, ambao huwezi kuwafananisha. Mimi ni mpenzi mno wa reggae, lakini hata siku moja siwezi kupata jibu kikiwashindanisha Peter Tosh, Bob Marley na Bunny Wailer, kwa sababu kila mmoja ana radha yake ya kipekee. Hitimisho ni kwamba Bob huwezi kumshindanisha na Luck Dube hutapata jibu sahihi.
Nimekusoma ndugu yangu kuna kitu pia nimejifunza. Asante saanaReggae ni nziki wa style, na kila mwanamziki wa reggae and staili yake. Kwa hiyo ukiipenda style flani basi utampenda huyo mwanamziki. Bob anastaili yake
Luck Dube ana staili yake
Alfa Blondy, Culture, UB40, Gregory Isaac na wengine wengi wana stlye zao.
Kwa kweli sitamuelewa mtu atakayesema mwanamziki flani wa reggae yuko juu ya mwenzake. kwanza nitamuona hajui mziki wa reggae.
kwangu hata mtanzania Justine Kalikawe ana mziki mkali zaidi ya Bob. Hata hivyo na Bob nae anemambo yake makali ambayo Kalikawe hana.
Mziki wa reggae ni mziki wa ujumbe, sala-imani na burudani. mwanamziki mingine anaweza changanya yote hayo au akaweka kipengere kimpja tu.
tena kuna aina mbalimbali za reggae, mfano roots, sweet reggae, reggae maffin nk.
Pia kuna mwingine atapenda live perfomance, mwingine atapenda mashairi zaidi, mwingine atapenda kuchanganya kila chombo cha mziki, mwingine atapenda baadhi tu ya vyombo ya mziki.
kwanza kwa wana reggae wa ukweli hakuna atakayeanza kulinganisha mziki wa mtu na mtu mwingine. huo ni utengano na ni uchochezi.
Tulinganishe miziki mingine tu... Reggae tuachane nayo
Sikutegemea kama angepatikana mtu akaandika mawazo kama yako... Uzi umekaa kama unataka kushindanisha lakini sasa nimeongeza vitu fulan fulani katika uelewa wa muziki wa regaeNampenda sana Luck Dube, msiba wake uliniuma zaidi ya Misiba yote Duniani lla Bob ni namba nyingine, nimepata kuona ducumentaly ya Bob kiukweli jamaa alizaliwa kwa sababu maalum.
Ukianza tu alivyo zaliwa baba mzungu mama mswahili, baba kumtosa mama akapambana. Hakika Bob ni mpango maalumu wa Mungu, kuonyesha binadamu wote ni sawa.
Tazama hata brand yake mpaka leo hipo sokoni Duniani kote, na ipo juu kiheshima zaidi kuliko brand yoyote ile Africa na Dunia. Japo waafrika hatuipi thamani kama wazungu.
Kutoa wanasiasa mashuhuli wa Afrika walio taka kuleta umoja wa Afrika Kama Mwl Nyerere, Mungu amlaze mahali pema baba wa Taifa huyu. Bob pia ni mtu aliyekuwa na mziki wa kuifanya Afrika kuwa moja.
Namu heshimu sana mtu mwenye ndoto za Afrika iwe moja, kwa vijana wasasa ni mtu kama Masud Kipanya, anafanya kazi nzuri sana sana. Hongera sana kaka Masud kupitia crew nzima ya Maisha plus. Endeleza ndoto zako maana kitendo cha kuwa kusanya vile vijana mataifa mbali mbali ni jambo zuri sana. Kazi imebaki kwa viongozi tulionao kuamua tuu kuhiunganisha Afrika kwa faida ya umoja wa vizazi vijavyo.
Aseee hii sikuwahi kuipataa asante mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mwezi huu Jumamosi iliyopita, tar 15, taasisi ya Robin Hood Foundation iliyoanzishwa na Jay Z pamoja na mkewe, waliandaa onyesho la ma-star wakubwa. Nick Minaj alikuwepo. Nick Minaj ni story nyingine kwa rappers wa kike, next to none. Majority tunasema hivyo na inaaminika hivyo. Lakini wakati Minaj akiwa back stage, mara hamad 'L Boogy' a.k.a Laurin Hill, Fugees first lady anaingia. Minaj alienda chini mojakwamoja, akasujudu. Akamshika miguu 'L Boogy', akimwambia "asante dada kwa kutufungulia milango" (paving the way). Wazaramo wanaita 'kutotola'. Uzi wako ndo umenikumbusha hii story. Ni juzi tu.
' View attachment 421503 View attachment 421505 View attachment 421506
Unamjua vizuri L'boogy Lauryn Hill? Lauryn aliolewa na Rohan Marley mtoto wa Bob na kupata watoto.....5 nafikiri. Lauryn Hill ni Goddess......anaheshimika mno, anajielewa mno. Kiufupi nikama vile ameendeleza spirit ya Bob kwa namna yake.Aseee hii sikuwahi kuipataa asante mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kwenye "Sweet Reggae" kuna mtu anaitwa Beres Hammond huyu mzee ni balaaNote:
1.Mkali wa "Reggae" ni BOB MARLEY
2.Mkali wa "Sweat Reggae" ni LUCK DUBE
Yaani kuna tofauti ya style katika uimbaji wao.
Majina yaliyosumbua hapa duniani ni matatu mpaka sasa.Ivi lucky dube na bob marley nani alikua mkali na alitamba sana enzi za muziki wake, Binafsi Wakati nakua nilikua namsikiliza sana lucky dube, lakini walionitangulia wanasema hajawahi tokea kama bob marley.. Nini maoni yako nani mkali kati ya hawa jamaa wawili. Kwangu lucky dube ni bora sauti mashairi mpka ujumbe wa nyimbo zake.
Anawasha au anabweka sana!?!?Dem wangu ndo mkali kuliko wote