Bob Marley Bado Anaishi na Yu hai..

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,909
Ukifuatilia katika wale watu Mashuhuri na Waimbaji Hakika utakubaliana na Mimi kuwa Bob Marley Bado yu hai.. Kila sehemu bado anaheshimika na Kazi zake bado zinapendwa Duniani Kote....
 
9a4d7ee5f9612a5a71821ab7a18e5dde.jpg

"Even if I'll die without grave, but my Ghost will still remain royal"
 
Ukifuatilia katika wale watu Mashuhuri na Waimbaji Hakika utakubaliana na Mimi kuwa Bob Marley Bado yu hai.. Kila sehemu bado anaheshimika na Kazi zake bado zinapendwa Duniani Kote....
Ni kweli ila zinazoishi ni kazi zake lakini yeye alishakufa.
 
Ukifuatilia katika wale watu Mashuhuri na Waimbaji Hakika utakubaliana na Mimi kuwa Bob Marley Bado yu hai.. Kila sehemu bado anaheshimika na Kazi zake bado zinapendwa Duniani Kote....
Naona umekula kitu cha marijuana,dawa,a.k.a ganja
 
Ukifuatilia katika wale watu Mashuhuri na Waimbaji Hakika utakubaliana na Mimi kuwa Bob Marley Bado yu hai.. Kila sehemu bado anaheshimika na Kazi zake bado zinapendwa Duniani Kote....

Ni kweli, mi nilimuona jana pale Vingunguti machinjioni akitembea na mwanaye Ziggy. Cha kushangaza nilipomuita tu aligeuka na kuniuliza eti huu ni mwaka gani huku akivuta msokoto wake wenye harufu kali.
 
Ukifuatilia katika wale watu Mashuhuri na Waimbaji Hakika utakubaliana na Mimi kuwa Bob Marley Bado yu hai.. Kila sehemu bado anaheshimika na Kazi zake bado zinapendwa Duniani Kote....
Akili Unazo?
 
Back
Top Bottom