Bob Chacha Wangwe: Tunaenda wapi kutoka kwa ma-DED?

Bob Chacha Wangwe: Tunaenda wapi kutoka kwa ma-DED?

Kwani wajeda na mapolisi wanapatikanaje?
Au nao ni makada wa chama fulani?

Itumike mbinu ileile na wawe wanahudhuria semina kabisa. Semina hiyo iwe inahusu uzalendo na sio masilahi ya kikundi au chama fulani kuhusu maamuzi ya wapiga kura.

Mwanzo utakua mgumu ila huko mbeleni itakaa sawa
 
Wawe waajiriwa wa NEC kwa specific time, mfano miezi 6 au mwaka ambapo kazi itatangazwa na sifa za mwombaji kuonyeshwa kwenye tangazo. Sifa za mwombaji among others lazima zizingatie katiba. Kabla ya kuajiriwa, majina yatangazwe gazetini ili kama mtu ana zuio la haki kwa mwajiriwa anayekusudiwa, mtu huyo aweze kueleza na hasa kama mtu anayetakiwa kuajiriwa ni kada wa chama fulani.
Ndagha fijo gwa nkaja, mo mumo
 
askofu Shoo na Fr. Kitima?
Yeah, kiongozi ambaye hawezi kuwajibishwa na mwanasiasa au ambaye hana anachokitafuta kwa mwanasiasa ndiye ambaye tunaweza kuwa na imani naye akisimamia uchaguzi. Sio maDED ambao wanaweza kuwajibishwa na mwanasiasa, yaani hii hata ukiwasimulia watu wenye akili zao watatushangaa sana wanaweza kutudhania ni misukule ujue.

Yaani refa wa mechi ya Simba na Afrikan Lion amechaguliwa na mwenyekiti wa Simba analipwa na mwenyekiti wa simba anaweza kufukuzwa kazi na mwenyekiti wa simba. [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] alafu unategemea afrikan lion pamoja na hali yao ngumu waje kupata ushindi? dahh, hata kama wakiweka geti golini lazima wafungwe tu. [emoji28][emoji28][emoji28] hebu jamani tujaribu kuwa siliazi kidogo tuache masihara.
 
Mtangazaji kwa makusudi aliuliza swali la mtego (ingawa ni la kijinga) sio kazi ya Wangwe kubuni vigezo vya wafanyakazi wa NEC.
Yani mtu kama yule DED wa Dom leo asimamie uchaguzi?
Kama ni hivyo mechi ijayo ya Simba na Yanga refa awe Mh. Waziri Mkuchika! Si ndiyo wa Utawala Bora?
Leo asubuhi Bob Chacha WANGE ameshiriki kipindi cha gumzo cha BBC. sehemu ya mazungumzo yao:-
Mtangazaji:- mtazamo wenu hamuwataki MADED wasimamie uchaguzi; je ni nani wawekwe badala yao na itumike njia ipi kuwapata?
Wangwe:- sisi lengo letu ni kupata katiba mpya.... mtandazaji anamkatiza
Mtangazaji:- Swali langu nataka utusaidie namna ya kuwapata watu wa kufanya kazi ambayo kwa sasa wanaifanya MADED
Wangwe: Tunao ushaidi na tumeutoa mahakama MADED ni makada wa CCM

Nani anaweza kumsaidia Wangwe kujibu swali hili
 
"Shoctopus, na simba itashinda amini nakwambia.
Yaani vyama vya upinzani hapa afrika hata wavinawagombea,vinatoka vikabila vidogo vinavyojitumua tu. Yaani hata kama wao ndo watakao kuwa tume havina msingi wa kutosha wa kushinda uchaguzi wowote
 
Leo asubuhi Bob Chacha WANGE ameshiriki kipindi cha gumzo cha BBC. sehemu ya mazungumzo yao:-
Mtangazaji:- mtazamo wenu hamuwataki MADED wasimamie uchaguzi; je ni nani wawekwe badala yao na itumike njia ipi kuwapata?
Wangwe:- sisi lengo letu ni kupata katiba mpya.... mtandazaji anamkatiza
Mtangazaji:- Swali langu nataka utusaidie namna ya kuwapata watu wa kufanya kazi ambayo kwa sasa wanaifanya MADED
Wangwe: Tunao ushaidi na tumeutoa mahakama MADED ni makada wa CCM

Nani anaweza kumsaidia Wangwe kujibu swali hili
alitakiwa tu kujibu kwamba yy alienda mahakamani kuitetea katiba ya nchi isikanyagwe kwa makada kusimamia uchaguzi
 
Back
Top Bottom