Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,527
- 28,380
mkeweLeo asubuhi Bob Chacha WANGE ameshiriki kipindi cha gumzo cha BBC. sehemu ya mazungumzo yao:-
Mtangazaji:- mtazamo wenu hamuwataki MADED wasimamie uchaguzi; je ni nani wawekwe badala yao na itumike njia ipi kuwapata?
Wangwe:- sisi lengo letu ni kupata katiba mpya.... mtandazaji anamkatiza
Mtangazaji:- Swali langu nataka utusaidie namna ya kuwapata watu wa kufanya kazi ambayo kwa sasa wanaifanya MADED
Wangwe: Tunao ushaidi na tumeutoa mahakama MADED ni makada wa CCM
Nani anaweza kumsaidia Wangwe kujibu swali hili