Sio kazi yake, ametimza wajibu wake kama Raia mwema wa kulinuda katiba na Mahakama kuu imeliona hilo. Ni kazi ya NEC kujua wapi itatoa wasimamizi lakini sio kazi ya mtu mwingine. Ndio maana watu wanashangaa Mwanasheria Mkuu kwenda kukata rufaa, watu wanauliza Serikali ina maslahi gani?