Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
Bibi yangu mzaa mama ana miaka 120 na bado yupo mzima naongea naye kwenye simu. Ni miezi michache tu ameanza kushindwa kwenda ibada peke yake. Anafahamu wajukuu wote kwa majina, vitukuu na vilembwe. Ni mcheshi hana malalamiko. That is moyo wake ni mweupe hana mawazo potofu. Nina amini bibi yangu huyu ameishi miaka mingi kwa kuwa ni mwepesi sana kusamehe na kufurahia maisha. Analelewa na mtoto wake wa mwisho wa kiume (naye ni over 60 years) na hana tabu hata kidogo kwa mkwe wake. My bibi tumempa jina "British". Tukimaanisha si msumbufu. Hao Guness waje Africa watangaze nasi tupeleke wazee wetu.
Nilijua mtauliza swali. Nilisema over 60 means kuanzia 61 to infinite!!!!! Si lazima kutaja umri wake hapa. Miaka 60 ni kipimo cha uzee Tanzania na dunia (official age). Nilitaka kuonyesha tu kuwa bibi ni mzee. Basi kwa kuweka figure uncle wangu ni miaka 79. Bibi alizaa almost na uzeeni maana watoto wake wa kwanza 4 walikufa mfululizo ndipo Mungu akamjalia wengine 6 ambao sasa wamebaki watatu (3). Na babu alikufa 1999 akiwa mzee kabisa pia.bibi miaka 120 awe na mtoto miaka 60 wa mwisho duh?
Nilijua mtauliza swali. Nilisema over 60 means kuanzia 61 to infinite!!!!! Si lazima kutaja umri wake hapa. Miaka 60 ni kipimo cha uzee Tanzania na dunia (official age). Nilitaka kuonyesha tu kuwa bibi ni mzee. Basi kwa kuweka figure uncle wangu ni miaka 79. Bibi alizaa almost na uzeeni maana watoto wake wa kwanza 4 walikufa mfululizo ndipo Mungu akamjalia wengine 6 ambao sasa wamebaki watatu (3). Na babu alikufa 1999 akiwa mzee kabisa pia.
Ukali uko wapi hapo mku Philip Dominck? Hakika umri wake unasemekana ni mkubwa zaidi ya hapo. Watu waliweza kukisia umri wake kwa kuanzia miaka ile walikuta wanatumika kufanya kazi kwa machifu. Kwa hiyo she might be 5+-. Hakika amekula chumvi nyingi. Mama yangu nategema naye atakula nyingi sana.umeongea kwa ukali mpaka nimekuogopa,,sawa mkuu ila umri wa bibi yako na uhakika ni makisio tu,kwan hafahamu umri wake wa ukweli
Ukali uko wapi hapo mku Philip Dominck? Hakika umri wake unasemekana ni mkubwa zaidi ya hapo. Watu waliweza kukisia umri wake kwa kuanzia miaka ile walikuta wanatumika kufanya kazi kwa machifu. Kwa hiyo she might be 5+-. Hakika amekula chumvi nyingi. Mama yangu nategema naye atakula nyingi sana.
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
Waafrika hatuna utaratibu wa kutunza rekodi, ila tuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuingiza kwenye kitabu cha GuinnessMiaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
bibi miaka 120 awe na mtoto miaka 60 wa mwisho duh?
wapo watu wanaishi miaka mingi sema hawatangazwi, ila walio katika ulimwengu wa kufikiwa kirahisi na kusikika kwenye vyombo vya habari ndio hao tunaowasikia.
...kweli watu wanakufa wakiwa vijana wadogo...
Waafrika hatuna utaratibu wa kutunza rekodi, ila tuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuingiza kwenye kitabu cha Guinness
amesema over 60yrs,mbona mgumu kuelewa?