BMW wamezindua BMW i3 Sedan | Hii ni 3 Series ya Umeme!

BMW wamezindua BMW i3 Sedan | Hii ni 3 Series ya Umeme!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
Ni wazi 3 Series ndio gari BMW waliyouza kwa wingi kuliko model yoyote hadi sasa.
IMG_7048.jpeg

Sasa kuendana na teknolojia, wameiletea EV yake, inaitwa i3.
IMG_7050.jpeg

Cha muhimu kabisa ni range ya 900 kilometa na power ya 460 hp. Battery lina 100 kWh na charging system ya 800v architecture (DC fast charging inakupa 400 kilometa kwa dakika 10)!
IMG_7051.jpeg

Vingine labda max speed 225 km/h na acceleration ya 4.1 sec kutoka 0-100 km/h.
IMG_7043.webp

Ndani ni 17 inch screen, new technology powered na AI, kuna drive assistance za kutosha pia.
 
Wametisha sana..

Katika harakati zangu za kuutishia umaskini, mwaka jana niliona kagari fulani hivi ni bmw nako kalikuwa na jina kama hili la i3, kalikuwa kako befoward sasa sijui jina ndio nimechanganya! Kalikuwa kadogo dogo hivi
 
Back
Top Bottom