pole sana mkuu,mie pia nii mhanga wa tatizo kama lako lakini nina vw touran.Gia zilikua zina chelewa ku engage,sometimes zina goma kabisa gari inakua ina unguruma tu,rpm ina panda lakini ipo pale pale.Nili peleka vomp diagnistic first ikawa ina onyesha code error tu,waka fungua gearbox hawaku kuta tatizo lolote ikabidi wabadilishe transmission fluid tu.
Ika tulia kama mwezi hvi af ndo ikawa worse,ikabidi nipeleke kwa fundi mwingine ,akafungua gearbox tena na kucheki kwa indani zaidi akagundua gearbox seal iliku ime choka kabisa.Nika badilisha ikafungwa upya na tatizo likawa lime kwisha.
Sometimes comp diagnostic haisemi kila kitu lakini usivunjike moyo.
inawezakuwa ni Automatic Transmition Fluid, wanapoisafisha hakikisha wanabadilisha oil mpaka itoke ya rangi inayokaribia nyekundu..ikitoka black or brown ujue bado ndani kuna uchafu..lengo langu la kufungua hii thread ni kupata mawazo ya wengine kwa experience zao za matatizo kama haya,na nilikuwa naamini nitapata mwanga wa tatizo hili...na michango niliyopata kwa kweli imenipa mwanga ni nini kinaweza kuwa tatizo na mawasiliano ya mafundi niliyopata yatanisaidia.
mtu anaweza akanishangaa labda sijui mafundi,sio kila fundi ni mtaalam wa gearbox,fundi wangu ni mzuri sana lakini tatizo hili atanielekeza kwa fundi wa gearbox na sio yeye.nashukuru michango yenu wote,hata yule alieona hii ndio nafasi yake ya kutoa kashfa namshukuru pia.
Mwenye ushauri zaidi namkaribisha.
gari yoyote inaweza kusumbua kitu chochote wakati wowote, hata kama ni MPYA, ndiyo maana unaskia kampuni imerecall, kampuni inakupa guarantee kwa mileage kadhaa! ni kama binadamu tu, anaweza kuzaliwa leo kesho akawa anaumwa. haya mtake radhi jamaa kwa kuita usafiri wake ngarangara!
eti hii ni garangara jamani acha kufuru mtoto wa kike:
View attachment 168812
mkuu hamna gari isio haribika....tena hizi za bei mbaya ndio balaa....hata zikihisi hewa ni chafu matatizo.
miaYou can reset the gearbox yourself - key in slot - press start without foot on brake - then press down accelerator pedal to the floor for 30 seconds.
I find that if I do this every few weeks it restores me to "super smooth" changes.
Hope that help
Hivi gari automatic ukiizima ikiwa kwenye gear, inakubali kuwaka tena bila kuweka parking?
hahahhaaa, unanidai mbili! nakuvizia na wewe nitakukamata tu😛eep:
Ni kweli kaka. Ila huyu kakangu Kaizer amezidi, yaani anaendesha gari ya urithi babake alinunua brand new enzi za mwalimu! Afu gari za kisasa zinadeka sana. Ukiangalia kiundani kuna magari yametengenezwa kwa ajili ya africa aisee.
hahahhaaa, unanidai mbili! nakuvizia na wewe nitakukamata tu😛eep:
Ntakuazimisha yule kijana, muwe mnaangalia top gear maana inawaharibu. Huwa nadanganywa hadi nakoma, maana sijui.
Mara gari yenye speed kubwa ni 1000, mara sijui nini. Naomba namba ya paw nimshauri aongeze kengine.
Mkuu huyu dada yangu ni mbishi kama nini
Lile ngara ngara si ndo unapendaga kluliendesha safari hii sikupi
Kiongozi gearbox ndio kwa heri,ikichemka inagoma,ukizima fluid inapoa that is why inakubali kwrnda,mie ilinitokea kwenye hilux surf ,akaja fundi akabadillisha transition fluid,nilitumia miezi 4 tu ikaanza tena,this time ikanigomea usiku mbali na nyumbani,kesho nikalivuta nikanunua gear box nyingineView attachment 168764
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Duuuh aiseee kuna surf flani hivi kitaa kama hiyo uliyoweka kwenye picha inafanya hivyo hivyo yenyewe ukiweka R au D inachelewa kuondoka inaenda kama manual inapiga kelele lakini spidi ndogo sana sijui ndo gear box imekufa au vipi...??