Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Ulitaka ile chips?
hahahahahhaahhahhahahahahahahah, UMEUA,
Ulitaka ile chips?
hivi huwa mnatumia njia gan kujua fuel consumption ya garDah sikujua kama petrol cars zinakula mafuta kiasi hiki.
me natumia 1HZ Land cruiser GX (4164cc) kwa town trips inakula 1L/8km full ac na kwa safari mostly hua ni 1L/8.1Km sababu hua nakimbia sana hadi 150km/h
Acha mafuta yaishe andika pembeni kilometa za muda huo wa mafuta kwisha,weka lita zako utakazoweza,tembea tena mpaka yaishe then chukua kilometa za muda huo yalipoishia mafuta toa kilometa zile za kwanza,zitakazobaki yaani kilometre covered gawanya kwa lita ulizoweka ambazo ndo zimekwisha kwa wakati huo,namba utakayopata hiyo ndo fuel kilometre per litrehivi huwa mnatumia njia gan kujua fuel consumption ya gar
Yes boss!lkn consumption utakayopata itakuwa combined cndio ? sababu utakuwa umetembelea katika hal zote
Natafuta hiace nzur kwa biashara sjui napatake msaada
Mkuu naomba namba ya huyo fundi wakoMkuu,
Hizi gari issue sio spares tena. Zipo na kama hazipo zinagizika bila matatizo. Matatizo yake mengi yanatabirika. Ikichomekwa kwa computer inakupa report ya kila kitu mpaka lini break zako zitakwisha baada ya km ngapi.
Mimi bahati nzuri nimebahatika kupata mtu mmoja fundi mhindi ana bei nzuri sana na amesomea kabisa haya mambo na ndio mtu peke anayeshika hiyo gari, nakuunganisha naye mnaendelea. Na mimi pia nitakupa support kila mara unapohitaji msaada. Na mimi nanunua ingine kama hiyo miaka ya karibuni.
Ni gari ambayo ukitunza na yenyewe itakutunza haswa.
Habari fundi ulimpata.? Nina gari mpya kabisa BMW nataka nijue service za uhakika ni wapi...Mkuu niunganishe na huyo muhindi nina Mitsubishi GDI space wagon imekula miaka sita bila usumbufu nataka nikafanye service ya uhakika pamoja na engine overhaul.
Ulipewa namba?Mkuu naomba namba ya huyo fundi wako
Habari Danny Fundi ulimpata???Mkuu niunganishe na huyo muhindi nina Mitsubishi GDI space wagon imekula miaka sita bila usumbufu nataka nikafanye service ya uhakika pamoja na engine overhaul.