BMW 3 Series 2005 Engine 1900cc Silver For Sale

BMW 3 Series 2005 Engine 1900cc Silver For Sale

Mkuu,
Hizi gari issue sio spares tena. Zipo na kama hazipo zinagizika bila matatizo. Matatizo yake mengi yanatabirika. Ikichomekwa kwa computer inakupa report ya kila kitu mpaka lini break zako zitakwisha baada ya km ngapi.

Mimi bahati nzuri nimebahatika kupata mtu mmoja fundi mhindi ana bei nzuri sana na amesomea kabisa haya mambo na ndio mtu peke anayeshika hiyo gari, nakuunganisha naye mnaendelea. Na mimi pia nitakupa support kila mara unapohitaji msaada. Na mimi nanunua ingine kama hiyo miaka ya karibuni.

Ni gari ambayo ukitunza na yenyewe itakutunza haswa.
Mkuu niunganishe na huyo muhindi nina Mitsubishi GDI space wagon imekula miaka sita bila usumbufu nataka nikafanye service ya uhakika pamoja na engine overhaul.
 
Hadi leo haijanunuliwa? Kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza!
 
Vipi habari ndugu,hii gari bado hipo au umeshauza,?naomba mawasiliano kwa kutumia whatsapp Kama itawezekana ?
 
Hadi leo haijanunuliwa? Kweli chema chajiuza kibaya chajitembeza!
Kwa vile hatuna hela tu, sultani wa Brunei anazo hizi 160 peke ake, wewe ni nani useme sio chema, Na ukute ni mwenzangu na mm tz 11
 
Natafuta hiace nzur kwa biashara sjui napatake msaada
 
Mkuu ngoja miezi isogee kama itakuwepo bado hadi mwez wa 8 ntamchukulia wife...bei najua hatutashindwana
 
Mkuu, nitakuwa natafuta hii gari mwezi wa saba/nane hivi... If you still have it then, nitakucheki. Na kama hautakuwa nalo nitakutafuta kwa ajili ya ushauri.
 
Dah sikujua kama petrol cars zinakula mafuta kiasi hiki.
me natumia 1HZ Land cruiser GX (4164cc) kwa town trips inakula 1L/8km full ac na kwa safari mostly hua ni 1L/8.1Km sababu hua nakimbia sana hadi 150km/h
 
ila kwa foleni za dar its understandable gari kula mafuta, Hizo mileage ninazopata mimi kwenye 1HZ ni sababu naishi miji haina foleni sana. Mwanza na morogoro
 
Back
Top Bottom