Wakutu JF-Expert Member Joined Jun 4, 2012 Posts 249 Reaction score 173 Oct 3, 2014 #1 Baada ya matokeo kutangazwa BMK likageuka ukumbi wa disko
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 Oct 3, 2014 #2 Wakutu said: Baada ya matokeo kutangazwa BMK likageuka ukumbi wa disko Click to expand... Deo Sanga kituko ..teh teh teh!!
Wakutu said: Baada ya matokeo kutangazwa BMK likageuka ukumbi wa disko Click to expand... Deo Sanga kituko ..teh teh teh!!
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,880 Reaction score 5,725 Oct 3, 2014 #3 Hapo amekosekana dj Mbowe tu
Tudai Haki JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 315 Reaction score 82 Oct 3, 2014 #4 Mwe mwe mwe mzee wangu ameshaniabisha
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,268 Reaction score 4,586 Oct 3, 2014 #5 Wakutu said: Baada ya matokeo kutangazwa BMK likageuka ukumbi wa disko Click to expand... Tumechoka na habari za katiba katiba katiba.......hata vikundi tuu vya kuzikana vina katiba mbona ni kitu cha kawaida tuu? Naitaka serikali waunganishe kura ya maoni na uchaguzi wa Serikali za mitaa ili tufunge jambo hili
Wakutu said: Baada ya matokeo kutangazwa BMK likageuka ukumbi wa disko Click to expand... Tumechoka na habari za katiba katiba katiba.......hata vikundi tuu vya kuzikana vina katiba mbona ni kitu cha kawaida tuu? Naitaka serikali waunganishe kura ya maoni na uchaguzi wa Serikali za mitaa ili tufunge jambo hili