Inatoka Dar saa nne auKampuni yenye mabasi aina ya Scania anaweza kuweka chombo kinachoweza kwenda na kurudi, iwe ni Arusha au Dar.
Hata basi za kichina zinaweza kwenda na kurudi.Kampuni yenye mabasi aina ya Scania anaweza kuweka chombo kinachoweza kwenda na kurudi, iwe ni Arusha au Dar.
Mna vichwa vibovu sana 04:00 AM ni saa nne asubuhi?Inatoka dar saa nne au
Kama gari zinazuiwa saa sita usiku, na kuruhusiwa saa kumi alfajiri,Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku[emoji1484].
LATRA waruhusu Mabasi kuanza safari saa 9 Usiku
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu. Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu. Mamlaka ya usafiri ya udhibiti...www.jamiiforums.com
Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM Coach imetoa tangazo [emoji1484].
View attachment 2641312
Sawa kabisa ila wataalam wa hizo gari wanasema ili hudumu na hiyo gari kwa muda fulani inapaswa isiwe na route ndefu au league kama zile anavofanya Ally's na yule katarama au Golden Deere na Sauli.Hata basi za kichina zinaweza kwenda na kurudi.
Makalio yako ppunda ww,wap nimeandika ni asubui!? Mi nimeuliza kwa mleta hojaMna vichwa vibovu sana 04:00 AM ni saa nne asubuhi?
4am siyo saa 4, tafuta std 7 akufundishe hayo masaa.Inatoka dar saa nne au
Sidhani kama lengo la masaa hayo ni ajali na ujambazi, bali nahisi ni kuwapumzisha kwa lazima madereva kwa masaa hayo.... Swali langu ni, je mamlaka zindhani haya masaa manne ndio muda wa ajali na majambazi, ndio maana wanazuia kusafiri masaa 24?
Ulikuwa unawahi kwenda wapi wewee?Kwa hiyo Tanzania kuna ujambazi kuliko kenya maana niliwahi kutoka Nairobi SAA 4 usiku na kuwasili Sirari-Tarime SAA 11 alfajiri
Lala lodge au guest house makao mapyaHuwezi toka moshono saa 9 kuwahi basi la saa kumi, au utoke ungalimited saa 9 kuwahi basi la saa kumi
Mwehu!Inatoka dar saa nne au