Omega,
Last time nilivyocheck naye aliniambia New Year resolution ni kumalizia kitabu chake mwaka huu kabla ya uchaguzi. Halafu alisema mwezi wa kwanza huu anafukuzia viwanja viwili, kimoja karibu na Mkuranga na kingine Mbezi Beach, kwa hiyo mambo ya mitandao bongo inawezekana not reachable.
Au kashapata Mwanahawa wa Kizaramo kabanwa kwa kanga moja.
Who knows? Atakuja hapa kusema mwenyewe, si unamjua addict yule.