binafsi naamini huo muonekano wa maringo wa Jigga ni sehemu ya showbiz yake..kitu kimoja nna hisia nacho ni kuwa hujaiskiza hata album yenyewe bluray,it's all in your head..anyway,hatutakaa tufikie muafaka wa haka kaubishi sababu kama ulivyokuwa determined kuamini amekwisha,ndio nilivyo ya kuwa nigga yupo poa sana!anafanya mziki nnaotaka kuuskiliza..
i went kwa this club NY on Friday na nimekoma ile ngoma na AK inavyoimbisha..NY,ambako ndio kwenye mziki wa kweli na sio ule wa kijinga usio na contents still loves him..hawezi kuweka mic chini kirahisi rahisi man..
na by the way,nilipenda ile kazi yake kwenye awards jana,hasa ule mchakato mzima wa kuingia kwake ukumbini..achia mbali zile 2 hrs juzi madison square..

Umejuaje sijaisikai albamu? Jay-Z anaheshimika -kuanzia kwenye hip hop Community mpaka kwenye NYT- kama "hustler" wala si kama rapper, mwenyewe kasema yeye ni hustler na si rapper, unabishana naye sasa?
msanii ku peak mapema ni kitu cha kawaida, badala ya kuona kama kashfa unaweza kuona kwamba jamaa alikuwa prodigy akawa successful sana mapema sana sasa anapata tabu kuzidi aliyoyafanya.
hahahahahaha Semjato, wampenda Hova kweli. Wacha tu download illegally hii album yake, its not worth my money.im a hustler's hustler the gangter's gangster/im a rappers' rapper your favourite aint i??...so nabishana nae wapi??
Muda unakwenda unabadirika na watu wanabadirika, huwezi kuimba vitu vile miaka 13 baadaye, kumbuka washabiki na wapenzi wa muziki wa Jay Z nao wamekua.
hahahahahaha Semjato, wampenda Hova kweli. Wacha tu download illegally hii album yake, its not worth my money.
nunua tu smatta,mi nili'dowload yote kabla..but siku ilipotoka nikafuta nikaenda inunua!hahahaha,plus we ulifanya nikanunua album ya chef so u owe me that.,tafadhali
Si kama watu wanataka albam ya zamani, ila tunategemea kukua na kuona vitu vikali zaidi, sijaona hilo katika hii albam mpya. Hata sampling anaenda ku sample "Forever Young"?
LAAAAAAAAAAAMEEEE
giorgio armani danny?lol..
yani sjaelewa how vikali is vikali zaidi to you..
sasa kuna mipaka ya ku'sample kwani mara hii??jiskilize kwanza mwana..you taking it too personal na hova..angeitumia hiyo sample rapper wako wizzy usingelalamika hata,nna hakika..
Mjuba amesukuma kopi 470,000 kavunja record ya Elvis Presley. Soon itakuwa Gold kwa hiyo kwa standard za RIAA sio flop.
Blue Ray, rapper wake ni Wizzy, hahahaha.. lakini Wizzy pia mkali, anfaa kupunguza hiyo syrup (purp) anayoitumia ama atatuacha hapa duniani.
Najua utakubaliana nami nikisema kwa hiyo album mzima Empire State of Mind ndio poa, hizo nyengine sub standard.
try to admit whem your favourite MC faults, mimi kuna time nilimfagilia sana Nas lakini kwa hiyo album yake Nigger, it was evident that he didnt give us his all.
Jay amepungukiwa na material ya ku rap about, when he was rapping about his slinging days he was good, but now with all that money, what can the brother sing about that RickRoss hasn't mentioned in deeper than rap, crab meats??
Kwani wangapi wameenda platinum wiki moja?Vipi keshawahi kwenda platinum ndani ya wiki moja?
Pleeeease, that weird squeaky squirrel who comes by the chimney of the radio to invade your living room?
No, you couldn't pay me to listen to Weezy!
Kwani wangapi wameenda platinum wiki moja?
Ni rapper pekee aliyeenda platinum kila album....kutoka reasonable doubt mpaka sasa....
Weezy kaenda platinum ndani ya wiki....
Fiddy....
Possibly Em...
So if Jay is the best rapper how come he's never sold a milli in one week? He's supposed to be the best....
Look at Weezys' numbers after that first week..i bet, he is still on double P.