U right 50 started it, and Jay himself played a part in this...he says that numbers don't lie BS and people internalize and regurgitate it, so if his album don't go plat first week and is deemed a flop for it he had it coming. I listened to the album, its not half as bad as the reviews would have you believe.
Slaughterhouse is good music, I loved the album, Budden's mixtape too, he's always been interesting to me, Rae leaked too, havent had time to listen to it yet, but heard some solid reviews so I am amped. Generally its good music coming out in the past 2 yrs or so, but cats act like albums are going plat in the first week left right and center.
Jay z mpuuzi sana, anakwambia "if you want the old Hova listen to my old albums". Empire state of mind na a star is born ziko kwenye repeat mode.
hahahaah,Jay is sick..hiyo ni booonge la quote..mi sijaanza kuwaelewa watu wanaoniambia niache kumskiza Jay..ili nimskize nani,Wizzy??Jeezy??wanacheza kweli jamaa...
na sijui kwa nini wanasema Jay alikuwa zamani,come on..mziki hauwezi kubaki vilevile miaka yote..aimbe kuhusu ghetto mpaka sasa?atakuwa muongo sasa....anyway,habari ni kuwa madison square garden is sold out..AGAIN!
na smatta pse,Kanye amemng'oa Jay kwenye we run this??unaskiliza nini?
my fav track kwenye this one ni 'thank you'....do me a favor dont do me no favors,i'll handle mine..
Ebanae kwa kifupi ukitoa nyimbo mbili kopo nyingine zilizobaki ni kali, inasemekana atauza kati ya kopi 300,000-350,000.
Si ndio hapo watu wanataka sijui tukawasikilize akina Lil Boosie na Huey?
na smatta pse,Kanye amemng'oa Jay kwenye we run this??unaskiliza nini?
my fav track kwenye this one ni 'thank you'....do me a favor dont do me no favors,i'll handle mine..
Umefanya nikaskiza hiyo nyimbo tena sasa hivi, Jay hasemi kitu kwa Kanye, this is evident in these track. Jay hana mistari, one thing I know for a fact is that yeye huwa na catchy rhymes, husema vitu ambavyo vinastick sana kichwani, lakini amepungua sana kwa ukali.
I used to luv Jay Z (no homo), he was one of the greatest, but after giving an ear to the likes of Kanye, I had to drop dude like a bad habit.
Wu tang for life, thats why I fux with Raekwon.
Comparing the first blue print to this blue print is what is making me say that Jay has lost his artistry, we know that he is a good rapper but this time round he has let his fans down, maybe all that paper is affecting him as n artist, he's not hungry anymore, its like he has reached the peak, a saturation of sorts, and he cant go further than that, maybe declining, coz what goes up, must come down.. Its a law called gravity.
Exactly,
Ukimuangalia kwenye Letterman interview anaonekana nyodo tu, he is not hungry at all, maringo mengi, he is more interested in getting the Jets to Brooklyn than his music.
come on bluray,why should he act hungry while he's not?mi kweli nashindwa elewa kwanini mnataka ang'ang'anie kufanya mziki kama wa blueprint i mwaka 2009 mwishoni..mambo yamebadilika bana!na wote mnaowatetea kwa wakati huu hakuna hata anayefanya mziki wa kiwango chake bado..siamini mlitaka abaki kwenye styles zake za muongo uliopita ili saa hizi awe anawaza kufikia 45k copies kama some gangsta rappers..huu ni mziki na biashara!mziki una'adopt mazingira watu waendelee kuwepo na biashara inafanyika,life is beautiful..