Nyani Ngabu ebu achana na lugha ya kuudhi, tuishi kwa kufurahishana na sio kuudhiana maana ni mdau humu ambaye huwa napenda sana uwepo wako, ila hilo neno vumbi linanikwaza jamaa yangu
Kanywe komoni acha kiherehere wewe dada.Upuuzi
Kanywe komoni acha kiherehere wewe dada.
NI wa kiume ila tabia yako ni ya kidada., kwa nini usihoji kwa nini nimeandika hivyo? Unazijua conspiracy theory?Me wa kiume, ila umeandika upuuzi jamaa usimind sana.
NI wa kiume ila tabia yako ni ya kidada., kwa nini usihoji kwa nini nimeandika hivyo? Unazijua conspiracy theory?
Tatua njaa ya akili ili ufikirie vizuri.
Hiyo hainiudhiUSA baby yenyewe haikuudhi?
Acha kumeza vitu., hii dictionary ulitunga wewe na nani? amini hivyo basi jarada lifungwe.Dah umentukana jamaa, aina noma jombaa, ni hivi, duniani kuna maana kuu mbili, kuna maana za kipuuzi kuna maana husika, maana husika ya lile jina la mtoto innocent wa watu maarufu marekani nzima sekta burudani ni hii hapa
Definitions
Blue: Blue Blood – a member of a noble or socially prominent family. A person of noble birth.
Ivy: Ivy League – connotations of academic excellence as well as a certain amount of elitism.
Maana ya kipuuzi kwa ajili ya wapuuzi kama nyinyi ndio iyo uloandika wewe earlier. Sasa wewe endelea kuhoji jinsia ya mtu anokupinga mtandaoni ukishupalia upuuzi.
Acha kumeza vitu., hii dictionary ulitunga wewe na nani? amini hivyo basi jarada lifungwe.
Hiyo hainiudhi
Mkuu kule sidhani kama wanakubali ng'ombekamekua daah soon tutatoa mahari
KichunaKazurije sasa.
PropagandaAGENT AT WORK
Hii tafsiri aliitoa jay z mwenyewe au ndio zile za kobongoBLUE IVY = Born Living Under Evil In Very Young.
Upuuzi
Umeona eeehHii tafsiri aliitoa jay z mwenyewe au ndio zile za kobongo