Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,314
- 33,108
@BAK Mkuu ukiwa upo Serious waweza kupata Wachumba humu ndani Waswahili husema Masihara Masihara mwisho huwa ni kweli Mkuu Hhaahahahah umenifurahisha mkuu Ukipendwa jipendekeze tu sio mbaya.:lol:Hehehe MziziMkavu na gfsonwin au Mr & Mrs MziziMkavu....mie naomba mwaliko tu wa harusi hii, popote pale duniani nitazuka kuhudhuria harusi hii ...Kila la heri.