Wadau, naomba kuelimishwa, Je kuna Ulazima wowote wa kujua/ haja ya kuzingatia blood group ya Mchumba kabla ya Kuoana?
Yeah! It is insisted!Ni kweli kuna wengine wana Rhesus negative ambayo ni 15% ktk jamii, Mwanamke anaweza kujifungua mimba ya kwanza lakin zingine itakua ni ngum.Ipo vaccination ambayo hua inafanyika kuprevent tatizo kutokea.Ni vizuri ukajua blood group ya mkeo kuna hata sickle cell nako sio nzuri.
Mkuu,
Hiyo vaccine ndio inaitwa Anti D injection?
Ndiyo!Kuna umuhimu.Wenye BLOOD GROUP B wanahitaji za hospital advanced kwani kuna huduma wanazipata baada ya kujifungua kabla ya kuchanga (infant) kunyonya.Wakizikosa huduma hizo vichanga hufariki.The case is:- Wasipojulikana blood groups zao watoto hufa na watamtafuta mchawi mpaka kesho.
Sio wenye group B bhana ila wenye rhesus factor negative bila kujali kujali ni group gan. Ikitokea hatapata Ant D mtt wakwanza atasurvive ila wanaofuata ndio hufariki.
Wakulu wa jukwaa hili eti kwa mfano umezaa na mdada halafu wewe ni group A+ wakati la mama yake ni A+ vipi ikiwa mtoto katoka na group O+ inawezekana kibaologia au ndio nimebambikiwa mtoto sio wangu? Nauombe ushauri tafadhani je inawezekana blood gropu yangu itofautiane na ya mwanangu?
Mbon sipat majibu
Mbona mdogo wangu yeye ana A- na ameshajifungua mara mbili na watoto wote anao japo huyo wa pili amemzaa na homa ya manjano ila kwa sasa yuko vizuri je hapo inakuwaje kama mnasema wanaofuata wote hufariki?
Na hiyo sindano ya ant D hajachoma ila mume wake ana O+ vp kuna uhusiano wowote hapo kati ya blood grop yake na mumewe au imetokea tu.
wanajamvi kuna kitu nilikisikia lakini sina uhakika nacho kwamba group la damu la mtoto lazima lifanane na la mtoto je hii ina ukeli au ni maneno tu
Yah.ni lazima group lifanane kwa sababu wote watoto.