Blood group b+

Ze observer

JF-Expert Member
Aug 12, 2017
232
491
Naombeni msaada juu ya kundi tajwa hapo juu..
1. Kuhusu resistance kwa magojwa
2. Unaweza ku donate kwa makundi yapi na kupokea kwa makundi yapi
 
Unaeza kudonate kwa B+ na AB+
Unaeza kupokea kutoka kwa O-,O+,B- na B+
Kuhusu resistance cna uhakika.
 
Back
Top Bottom