Blogu-nini cha kufanya?

Blogu-nini cha kufanya?

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Blogu hii iko wazi kwa wasomaji walioalikwa pekee

Huwa naingia mara kwa mara katika .blogspot bila tatizo lakini wakati mwingine unakuta huwezi kuingia na unakutana na meseji hiyo hapo juu inatokea.Inaweza kutokea asubuhi lakini jioni ikawa sawa.

Naingia kwa kutumia username kama kawaida.
 
Mmiliki wa blog ameifunga na haionekani kwa watu wote mpaka wale walioalikwa tu... kama unamjua unaweza ukamtumia email yako ili na wewe akualike...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom