Blogs na forum za michezo.

Status
Not open for further replies.

Chitemo

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
446
Jamani wadau mimi ni mpenzi sana wa sports hususan football both locally and international. Je ni blogs au forum gani naweza kupata information za soka achilia mbali na hizi ninazozijua:
1. Supersport.com
2. m.Goal.com
3. Skysport.com
4. 3arabsport.com
5. Tensport.com.
Niongezeni jamani nidumishe taaluma yangu ya habari za michezo.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom