McMahoon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 1,360 Reaction score 1,645 Jan 25, 2018 #141 white hat said: kwahilo sijui ingependeza kama ungeingia kwenye website zao kujisomea zaidi policy,Terms and condition zao Click to expand... Hawa jamaa nasikia huwa hawaeleki, unaweza fikisha 50 au 100$ account inaweza kuwa disabled. Poa shukurani ngoja niwacheki
white hat said: kwahilo sijui ingependeza kama ungeingia kwenye website zao kujisomea zaidi policy,Terms and condition zao Click to expand... Hawa jamaa nasikia huwa hawaeleki, unaweza fikisha 50 au 100$ account inaweza kuwa disabled. Poa shukurani ngoja niwacheki
bunyebunye JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 530 Reaction score 677 Jan 25, 2018 #142 Wakuu naomba kuuliza, nilikuwa na blog zangu 2 hapo nyuma nikaacha kupost tangu mwaka 2013, je nikiomba adsense naweza kupewa? Maana napanga kuanza kupost kwenye hizo blog kuanzia mwezi wa pili.
Wakuu naomba kuuliza, nilikuwa na blog zangu 2 hapo nyuma nikaacha kupost tangu mwaka 2013, je nikiomba adsense naweza kupewa? Maana napanga kuanza kupost kwenye hizo blog kuanzia mwezi wa pili.