Bloggers na Advertisers wameunganishwa hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bloggers na Advertisers wameunganishwa hapa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mdeesingano, May 21, 2011.

 1. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  www.JigambeBlogs.com ni web application ambayo inafanya kazi ya kuunganisha bloggers na advertisers. Inawezesha bloggers kulipwa kwa ajili ya kuandika posts zinazosifia bidhaa au biashara au huduma za advertiser. Blogger aweza kuwa yeyote mwenye anaemiliki au ku-update blog na advertiser ni yeyote anaetaka bidhaa au biashara yake ipate kuandikwa na kusifiwa kwenye blog mbalimbali.

  Website hii ni kwa ajili ya watanzania. Wanafunzi pia wanaweza kuitumia kama source of extra income kwa kuanzisha blog zao na watapata product za kuandikia toka JigambeBlogs ambayo kazi yake kubwa ni kutafuta wafanyabiasha wanataka bidhaa au huduma zao zisifiwe.

  Ukijiandikisha kwa kweli utafurahi iwe wewe ni advertiser au blogger!

  Kwa advertisers kwa sasa kuna offer ya $3 kwa ajili ya kutumika kwenye mtandao!

  Kwa tatizo,wazo au maoni usisite ku-click contact us!


  Karibuni wote!
   
Loading...