Feisal Juma
Member
- Aug 8, 2009
- 7
- 1
Jamani mie ni Blogger mwenye umri mdogo tu niko chuo kwa sasa nina miaka 19 na blog yangu inaitwa BLOG YA VIJANA kwa sasa ninaendelea vizuri japo sio sana...nashkurur kwa hilo na nimeandika hili kuwajuza tu wale wengine wasiojua kuhusu BLOG YA VIJANA basi wanaweza kuijua sasa......napnda kuchukua nafasi hii kuwashukuru na natumaini kwa wale amabo awaijui blog yangu wataanza kuitembelea kwa sasa....Ni na viewers zaidi ya 60,000 na kwa sasa sina tangazo :smile-big: