Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Probably ngono and partying and gossiping are the only things they know....
EXACTLY!
lakin i think women were born 'to live this way'
au siyo NYANI?
post zako fupi fupi nazikubali,mara nyingi ZINABEBA UJUMBE MZITO
Kuna blog nyingi tuu mbona za wanawake na hazina habari za hizo ngono.
temembele
8020fashion.blogspot
totalknockout by Teddy Kalonga
fashionjankii by Rose (i forgot her last name)
Kuna nyingine ya Chemi chemponda nimesahau blog yake inaitwaje.
zote hizo ni blog za mademu na zipo nyingine nyingi tuu.
Hizo zote nilizozi highlight zina center kwenye mambo ya burudani burudani tu...mambo ambayo yanaendana endana na gossip, ngono, relationships etc
At least ziko based on fashion lakini siyo ngono as stated above.Kumbuka ngono na fashion ni vitu viwili tofauti.
At least ziko based on fashion lakini siyo ngono as stated above.Kumbuka ngono na fashion ni vitu viwili tofauti.
Wazo zuri sana hilo...Ndiyo maana nataka kufungua Sex shop Sikonge na Mvumi Mision. Malecela ulisema tunapenda sana Waarabu, sasa nitakuingilieni na mambo ya Kizungu. Sijui Bariadi wataniruhusu? Kyela will be next.
so far nimeshaziona na kutembelea mbili. ya Diva wa clouds na Dina wa clouds pia. sijajua kama kuna wengine wana blog zao. kilichonifanya niwaanike ni kuwa hawana jipya. mmoja alirushwa sana kwenye blog ya michuzi kuwa kaanzisha blog, kutembelea ndio hivyo tena. yaani bora wangezungumzia mapenzi-ni ngono tupu! huyu anazungumzia kifo cha mende na huyu anazungumzia ni mwanaume gani celeb wa bongo ungependa ku-do nae! nimegundua wamelalia katika mapenzi kwa vile hakuna nguvu ya ziada kutafuta habari. ningewaona wa maana zaidi kama blog zao zingekuwa na mrengo kama wa kina michuzi, mpoki, ndesanjo na wengine wengi. wanawake badilikeni mje na kitu kipya. mapenzi yapo na hayaishi. kwa staili hiyo tutaendelea kuwaonea huruma tu na 'hamtatoka'
At least ziko based on fashion lakini siyo ngono as stated above.Kumbuka ngono na fashion ni vitu viwili tofauti.
Je fashion na madawa ya kulevya? Wakishabugia madawa yao, baada ya show huwa wanagawana, nani leo analala na nani. Hivi vitu viko kama Pua na mdomo. Utaanzia popote ila mwisho inaishia kwenye vifo vya Mende.
ndio ni vitu viwili tofauti kama ilivyo mtu na kaka yake ambao ni ndugu lakini ni watu wawili tofauti.
hivi unataka kunambia demu aliyevaa ki mini dress kinachoonyesha mapaja na cleavage na mgongo haleti ladha ya kingono ngono akikatiza barabarani?
Wazo zuri sana hilo...
Virutubisho katika ngono hakuna kabisa hapo mtaani na ni muhimu kuwepo ili watu waweze kufurahia ngono vya kutosha.
Huko sasa kwenye madawa ya kulebya hata wanaume wanayafanya msianze kwa kuwasema wanawake kama niw ao tuu ndiyo wanayafanya hayo mambo.Utadhani nyie wanaume mko innocent vile.