Wana JF, nimeleta topic mpya kabisa japo ni nje ya topic hii ni kwa sababu wengi tulioughaibuni tunatafuta vimwana na wakaka wa kuoa/kuolwa nao. Kuna hii blog nimetumiwa na rafiki yangu unaweza tuma maelezo yako hata na picha. Pia utakutana na wenzako wahitaji kama wewe.Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania chukua hiyo copy and paste. Kila la heri