F Fan boy Member Joined Mar 6, 2022 Posts 24 Reaction score 14 Jun 14, 2022 #1 Jamani kwa mwenye uelewa block chain ni nini? Nina dogo wangu wa kazi anapambana nayo sana hata simwelewe yani
Jamani kwa mwenye uelewa block chain ni nini? Nina dogo wangu wa kazi anapambana nayo sana hata simwelewe yani
raiswenu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2018 Posts 1,019 Reaction score 1,775 Jun 14, 2022 #2 Qnet na ndugu zake,
I iMind Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,198 Reaction score 5,398 Jun 15, 2022 #3 Blockchain au crypto currency? Maana blockchain kama technlogy ni mambo ya kisayansi sana.