Blind date hii noma sana

Pole sana... ndiyo maana ya "Blind date" tia mkono upapase, utakachokuta ndiyo size yako...
 

Kali sana hii, mmoja sikaja na shoga yake pamoja na katoto kadogo ati kaje kamwone uncle (yani mim), sijui hawa huwa wana nin yana masomo ya humu jf huwa hayawaingii, mwisho wa siku ataishia kukulaumu kwa kumwacha solemba
 
naskia wa JF wana vizinga balaa

Si wote japo wapo ambao siku ya kwanza tu utasikia, " kama unataka tuonane ntumie voucher" , hawa mim huwa nawapenda sana mana tayari anakuwa ashanirahishia kujua ni mtu wa aina gani, hapo ndo inakuwa dead end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…