Jibu hilo swaliWe ni ke au me?
Hahaahhaaaaa .. Mkorofi wewe.. Je akitaja my ID, what are you going to do ? ( just kidding )Hukosi vituko weye.... hahaahaahahaa..Thanks..Hatukupi mirejesho yetu hadi utupia list ya IDs na picha za hao member wa JF uliodate nao! right?
Akitaja ID yako wala sitashangaa sana kwa sababu ya ID unayotumia(loveissweet), inaonekana siku ukikosa love unaweza kufa wewe, kwa hiyo ukiwa unatafuta love everywhere including JF wala sitokushangaa my dear!!!Hahaahhaaaaa .. Mkorofi wewe.. Je akitaja my ID, what are you going to do ? ( just kidding )Hukosi vituko weye.... hahaahaahahaa..Thanks..
Mmmhmmmh if it was a Test naona usingefaulu.. Anyway I like your some vituko... Thanks..Akitaja ID yako wala sitashangaa sana kwa sababu ya ID unayotumia(loveissweet), inaonekana siku ukikosa love unaweza kufa wewe, kwa hiyo ukiwa unatafuta love everywhere including JF wala sitokushangaa my dear!!!
We ni ke au me?
Hatukupi mirejesho yetu hadi utupia list ya IDs na picha za hao member wa JF uliodate nao! right?
HAHAHAAAAAAAAA! wEWE UNA LIPA AU BASI TU. Ujue watu wanaondoa uhalisia wa maisha just simply its is jf anategemea yeye yupo kama Shabani Madobe ila wewe uwe Beyonce.
HAHAHAAAAAAAAA! wEWE UNA LIPA AU BASI TU. Ujue watu wanaondoa uhalisia wa maisha just simply its is jf anategemea yeye yupo kama Shabani Madobe ila wewe uwe Beyonce.
ha ha ha,unataka wawe warembo kama marichuyi.Hapa kitu cha meeee
Hakuna cha privacy,PM zote huwa zinasomwa na mods na huwa wanafaidi sana, je kuna privacy hapo mkuu???IDs noma mana ni vizuri kuzingatia privacy za watu kwani hata mawasiliano yalikuwa kwa PM tu
ha ha ha,unataka wawe warembo kama marichuyi.
Humu utaibua hata wabibi usipoangalia