Blaza Alphonce Hayupo Kabisa Aisee...!

Hebu weka picha, ili tuhakikishe unachosema bila kusahau kavideo kanakoonyesha ukitoa maneno ya mahaba...


Sent from my iPhone using JamiiForums


Aaaminiye na kukubaliana na uhalisia ameokoka na kupata mema yote. Asiyeamini ameukosa ufalme wa Mahanjam.
 
View attachment 1452775
Aaaminiye na kukubaliana na uhalisia ameokoka na kupata mema yote. Asiyeamini ameukosa ufalme wa Mahanjam.

[emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo ni wewe, au ni mmoja wapo wa hao ambao ulikuwa ukiwatazama wapitapo...!?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mema ya nchi kama ulikuwa unasikia Tanzania ni nchi ya asali na maziwa ndio hayo Sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyo ni wewe, au ni mmoja wapo wa hao ambao ulikuwa ukiwatazama wapitapo...!?


Sent from my iPhone using JamiiForums

Unaona sasa, ushaanza kupata mashaka. Nakwambia ji wachache sana wataofanikiwa kuingia ufalmeni ahahahahaa



Zote ni Kigagula Kasinde, moja before nyingine after.
 
Unaona sasa, ushaanza kupata mashaka. Nakwambia ji wachache sana wataofanikiwa kuingia ufalmeni ahahahahaa

View attachment 1452865

Zote ni Kigagula Kasinde, moja before nyingine after.

🤣🤣🤣
Basi bibi, ila nahisi hapo mchangani lazima uliteguka shingo tu, ndio maana hiyo avatar yako nikiitazama kwa makini naona ni ya mtu mwenye tatizo la shingo[emoji23]
Sasa bibiye kwa hiyo, kwenye ile before na rangi yako ikabadilika baada ya kupiga gym siyo, au ulishika shika vifaa vya umeme so kwa sababu ya ushamba ukalambwa shoti[emoji4]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Wee nawee mgumu kuelewaaaa....

Hiyo niliyo kwenye mchanga hapo ni jangwani, jua lote langu. Kuna mchezo insures Fear Factor, niliufanya kwenye mazingira magumu kwa miezi 2 mfululizo na hiyo ya jangwani ndo nilikiwa naanza aanza Fear Factor.

Hiyo ya gym hapo nsharudi mjini nimejisopusopu na mapouda malosheni ya kila aina kasoro mkorogo tuu, hizo nywele ni kofia nisikutishe nna bonge la upara.

Na editing pia ilifanyika kwenye hiyo picha ya after so rangi ya mkononi na kwenye kiuno unaiona bright kidogo, ila asili yangu ni hiyo rangi ya kwenye avatar.

Usipopigwa na jus na kunawa vumbi bila mapakopako unatakata meadow uwe unaoga maji baridi (sio ya chumvi) kila siku.
 

Mnatakiwa muelewe Tu kwenye suala la ngono , ubongo wa mwanaume unategemea reaction ya macho Kwa zaid ya 80% ili kuamsha hsia ...hyo ni given kama pie
 

Hahaa, basi bibi yangu!
Hongera kwa kujikubali, ila now shavu limevimba utadhani daima unakula kungu, uwe unapiga mchakamchanga ufike angalau vilima vya bonyokwa huko, usijepoteza umalikia wako mapema, kiono kilainike mama!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


Ntafanya yote hayo huku nikiwa naimba, jua lilee na literemkee mamaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…