Blandina Nyoni ,KATIBU MKUU wizara ya afya ,ambaye pia aliwahi kuwa mhasibu mkuu wa serikali ,na kuwa katibu mkuu wizara ya mali asili ni mojawapo ya wanawake maarufu nchini,
Pengine labda kutokana na nyadhifa alizoshika mf Mhasibu Mkuu wa SErikali na kM wa wizara kubwa mbili.Lakini haiba yake ya kama kiongozi imemjengea hali ingine inayofanya wadadisi kujiuliza huyu mama ni nani!
Achilia mbali kuwa ni Board member wa WAMA,NGO Ya Mama Salma Kikwete iliyopo Ikulu!sijui alipenyaje huko!lakini matendo yake akiwa KM yanatia mashaka kama kweli huyu ni katibu mkuu kama wengine!niHebu angalia mifano hii ya maamuzi akiwa wizara ya afya!....
Kwa miaka 2 mama huyu amefanikisha wizara kutumia zaidi ya Sh.Billion 4 kushiriki maenesho ya Sabasaba na Nane ambako amekuwa akifanya kufuru kubwa.
Mfano mdogo mmoja ni sare ,mama Blandina amewezesha wizra ya afya kuwanunulia washiriki wapatao 1000 suti jozi 6,ambazo thamani yake ni karibu shi Bilioni 2.7!nguo hizi zimekuwa zikiletwa na Duka la Mariedo moja kwa moja toka Uingereza.!Maswali ya kujiuliza hapa je haya ni matumizi yaliyohalalishwa na bunge kweli ,kumbuka Bilioni 2.7 zingeweza kununua vitanda 2700! vya hospitali kwa bei ya Tsh.1,000,000 kila kitanda ,natumaini kwa mtaji huu shemeji,wifi,wake ,mama,shangazi zetu wasingekuwa wanallala chini kule AMAna,Ilala na MUHIMBILI!
jAMBO LINGINE LINALOTIA MASHAKA NI MCHAKATO WA MANNUNUZI UANAOFANYIKA!LICHA YA KUWA FEDHA HIZO HAZIPITISHWI NA BUNGE LAKINI NAMNA AMBAVYO KAMPUNI YA MARIEDO IMEKUWA IKISHINDA ZABUNI HII KWA MIKA MIWILI MFULULULIZO NI MASHAKA MATUPU!
KUTOKANA NA MFANO HUU TU MDOGO NAOMBA WADAU MNIFAHAMISHE HUYU MAMA ANATOA WAPI NGUVU HII YA KUNUNUA NGUO ZA MAENESHO KWA VITANDA VYA HOSPITALI 2700!
...Nadhani anahitaji umakini zaidi, gazeti la Majira la tarehe 26/04/2011 ameorodhesha list ya Madaktari bingwa na kuwapangia vituo hospitali za mikoa, wakaandika na hospitali waliopo kwa sasa ambazo wengi walishatoka huko, walioorodheshwa wengine walikuwa discontinued wakati wakisoma huo udaktari bingwa, wengine bado hadi leo hawajamaliza lakini wametajwa kama madaktari bingwa na kutakiwa kuripoti vituoni....hapo umakini uko wapi??, wengine wameendelea kusoma Masters of Science kama mambo ya Moyo, Figo.., wengine ni walimu katika chuo kikuu kipya cha UDOM chenye course ya udaktari, au alitegemea wafundishwe na nani? Wengine ni walimu hapo Muhimbili, au ulidhani hao wazee hapo watafundisha milele na kuongeza mikataba kila siku bila kuandaa walimu vijana???? Hivi huko wizarani hakuna kupitia files za waajiriwa wao wajue wako wapi hadi wanawapangia vituo mara mbili mbili??? wengine kuandikiwa ubingwa tofauti na waliosomea..... hapo kwa mtazamo wangu hakuna umakini... tafuteni hili gazeti na wengine jina moja wamepangiwa vituo viwili sasa sijui anaripoti kituo gani.....hapo penye red napata wasi wasi
Pili aliongelea kufutiwa usajili... hapo mama alichemka nadhani apitie sheria kidogo.. mwajiriwa anafutiwa usajili na Medical Association of Tanganyika kama atabainika kufanya professional misconduct.. hafutiwi usajili na wizara ya Afya..... ushauri.... ni vyema wakajaribu kupitia file za hawa madaktari, kuwasiliana na vyuo vyote vya serikali na vingine, hospitali zote za serikali na nyingine, kwa na mashirika... kwa mtindo huu mtajua madaktari wenu bingwa wanatoa huduma wapi...Kazi njema, natumaini huwa unapita humu kama hupiti huenda watendaji wako wanapita humu jamvini na watakupa ujumbe.....usifanye kazi kisiasa kisa waziri kaulizwa bungeni kwa nini madaktari bingwa hawapo hospitali za mikoa na wewe unakurupuka na kubandika majini magazetini... kwanza hizo hospitali umeziwezesha kufanya kazi na hao bingwa au wataenda wabaki kuzurura huko??? vyumba vya upasuaji bora, vifaa vya kutosha, vipimo... naangalia pesa alotumia kununua suti wakati wa 77 ungeweza kuimarisha sana hizo hospitali za mikoa unazotaka mabingwa wako waende.
KabombeVita ya kibiashara unaleta huku.kwani yeye ndie purchasing officer?
hizi feva zitatuua.........Blandina Nyoni aliwahi kuwa mhadhiri Mzumbe university, akafanya kazi USAID, kabla ya kuwa Mhasibu Mkuu wa Serikali, alikuwa kamishna TRA. Yeye ana sifa ya kufuatilia watu wake wa chini kwa kweli anaijua kazi yake ipasavyo:smile-big:
safi sana, wewe ni mdau...Nadhani anahitaji umakini zaidi, gazeti la Majira la tarehe 26/04/2011 ameorodhesha list ya Madaktari bingwa na kuwapangia vituo hospitali za mikoa, wakaandika na hospitali waliopo kwa sasa ambazo wengi walishatoka huko, walioorodheshwa wengine walikuwa discontinued wakati wakisoma huo udaktari bingwa, wengine bado hadi leo hawajamaliza lakini wametajwa kama madaktari bingwa na kutakiwa kuripoti vituoni....hapo umakini uko wapi??, wengine wameendelea kusoma Masters of Science kama mambo ya Moyo, Figo.., wengine ni walimu katika chuo kikuu kipya cha UDOM chenye course ya udaktari, au alitegemea wafundishwe na nani? Wengine ni walimu hapo Muhimbili, au ulidhani hao wazee hapo watafundisha milele na kuongeza mikataba kila siku bila kuandaa walimu vijana???? Hivi huko wizarani hakuna kupitia files za waajiriwa wao wajue wako wapi hadi wanawapangia vituo mara mbili mbili??? wengine kuandikiwa ubingwa tofauti na waliosomea..... hapo kwa mtazamo wangu hakuna umakini... tafuteni hili gazeti na wengine jina moja wamepangiwa vituo viwili sasa sijui anaripoti kituo gani.....hapo penye red napata wasi wasi
Pili aliongelea kufutiwa usajili... hapo mama alichemka nadhani apitie sheria kidogo.. mwajiriwa anafutiwa usajili na Medical Association of Tanganyika kama atabainika kufanya professional misconduct.. hafutiwi usajili na wizara ya Afya..... ushauri.... ni vyema wakajaribu kupitia file za hawa madaktari, kuwasiliana na vyuo vyote vya serikali na vingine, hospitali zote za serikali na nyingine, kwa na mashirika... kwa mtindo huu mtajua madaktari wenu bingwa wanatoa huduma wapi...Kazi njema, natumaini huwa unapita humu kama hupiti huenda watendaji wako wanapita humu jamvini na watakupa ujumbe.....usifanye kazi kisiasa kisa waziri kaulizwa bungeni kwa nini madaktari bingwa hawapo hospitali za mikoa na wewe unakurupuka na kubandika majini magazetini... kwanza hizo hospitali umeziwezesha kufanya kazi na hao bingwa au wataenda wabaki kuzurura huko??? vyumba vya upasuaji bora, vifaa vya kutosha, vipimo... naangalia pesa alotumia kununua suti wakati wa 77 ungeweza kuimarisha sana hizo hospitali za mikoa unazotaka mabingwa wako waende.
kushinda tender ni moja but kutumia bilioni wakati wagonjwa tena wake zetu na dada zetu wanajifungua mbele ya watoto ni another issueNaomba niwaombe pia tujadili jinsi hii Mariedo inavyoshinda hzo tenda,maana mleta mada amejaribu kuonyesha wasiwasi wake
kushinda tender ni moja but kutumia bilioni wakati wagonjwa tena wake zetu na dada zetu wanajifungua mbele ya watoto ni another issue