M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,649 Reaction score 5,074 Feb 26, 2017 #81 Naamini hata mie siku nikiteuliwa,kuna uzi wangu utafukuliwa. This is JF,no stone will remain unturned.
Naamini hata mie siku nikiteuliwa,kuna uzi wangu utafukuliwa. This is JF,no stone will remain unturned.
realoctopus JF-Expert Member Joined May 11, 2014 Posts 3,232 Reaction score 1,983 Feb 26, 2017 #82 Hivi,faru john 2012 alikuwa hajajiunga na JF?
B blasted masawe JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 340 Reaction score 282 Feb 26, 2017 #83 Mnajua wanajf Mheshimiwa anafanya teuzi hizi za mafisadi Ili kuwakomoa wapinzani bila kujali adhari yeye anaona dawa ya kuwakomesha ni hiyo.
Mnajua wanajf Mheshimiwa anafanya teuzi hizi za mafisadi Ili kuwakomoa wapinzani bila kujali adhari yeye anaona dawa ya kuwakomesha ni hiyo.