Blandina Nyoni kujiuzulu?

Kama hii habari ni kweli, basi Blandina Nyoni ni bonge ya msanii. Barua yake ya kujiuzulu ame-copy na ku-paste sehemu kutoka barua ya kujiuzulu ya Liam Fox, aliyejiuzulu miezi michache iliyopita kutoka wadhifa wa Waziri wa Ulinzi wa Uingereza na kumuandikia David Cameron barua ifuatayo (angalia jinsi maneno yanavyofanana):

Dear David,

As you know, I have always placed a great deal of importance on accountability and responsibility. As I said in the House of Commons on Monday, I mistakenly allowed the distinction between my personal interest and my government activities to become blurred. The consequences of this have become clearer in recent days. I am very sorry for this.

I have also repeatedly said that the national interest must always come before personal interest. I now have to hold myself to my own standard. I have therefore decided, with great sadness, to resign from my post as secretary of state for defence - a position which I have been immensely proud and honoured to have held.

I am particularly proud to have overseen the long overdue reforms to the Ministry of Defence and to our armed forces, which will shape them to meet the challenges of the future and keep this country safe.

I am proud also to have played a part in helping to liberate the people of Libya, and I regret that I will not see through to its conclusion Britain's role in Afghanistan, where so much progress has been made.

Above all, I am honoured and humbled to have worked with the superb men and women in our armed forces. Their bravery, dedication and professionalism are second to none.

I appreciate all the support you have given me - and will continue to support the vital work of this government, above all in controlling the enormous budget deficit we inherited, which is a threat not just to this country's economic prosperity but also to its national security.

I look forward to continuing to represent my constituents in North Somerset.

Yours ever,

Liam

Nchi ina mambo mazito hii!

Mkuu, kwa ufupi hizi tetesi ni 100% uongo kwa sababu zifuatavyo:

(1) Watawala wetu hawana maadili ya kufikia kuwajibika na hivyo kuachia ngazi.
(2)Kutokana na sababu namba (1) wametengeneza mtandao wa kulindana na kugawana ulaji na kujiaminisha kuwa wizi, uzembe na ukaidi wanaoufanya ni mdogo sana ukilinganisha na wanamtandao wenzake.

Hii inanikumbusha methali moja isemayo "Mamba hasikii mpaka damu itoke masikini". WATAWALA WETU NI MAMBA WASIOTAKA KUSIKIA LA MTU. Bila kuthibiti utamaduni huu mbovu tutarajie kuendelea kufanyiwa uvunjaji wa maadili zaidi ya haya na watawala wetu siku zijazo.
 
Hivi kuna mtu aliyekuwa ameamini ni ya kweli? If so then Kikwete atakuwa amemjibu hivi:

Dear Blandina Nyoni,

Thank you for your letter.

I understand your reasons for deciding to resign as Permanent Secretary of the Ministry of Health and Social Welfare (MOHSW)
although I am very sorry to see you go.

We have worked closely for many years and you have been a key member of my team throughout that time.

You have done a superb job since the last election and before that.

You have overseen fundamental changes in the Ministry of Ministry of Health and Social Welfare, which will ensure that it is fully equipped to meet the challenges of the modern era.

On the doctors strike, you played a key role while I was abroad in the World Economic Forum to campaign for more foreign investment to our country.

You can be proud of the difference you have made in your time in office, and in helping our party to stay in government.

I appreciate your commitment to the work of this government, particularly highlighting the need to tackle the health problems, and the relationship between Tanzania's economic strength and other countries.

We have always been good friends, and I have truly valued your support over the years. I will continue to do so in the future.

Yours ever,

President Kikwete

This is a creative way of summing up how the "web of evils" safeguard their interests.
 
Achia kiti mama wape vijana wafanye kazi, wewe nenda kapoteze mda pale kwenye saloon yako tutakuja kutengeneza kucha...
 
Mwanzo nilijua ni kweli lakini baada ya kuipitia barua ya Liam fox nimeshindwa kabisa kuamini kawa brandina ameandika sehemu ya hiyo barua uliyoibandika hapa.
 
Hatimaye Mama Blandina Nyoni amejiunga katika timu ya victims wa Jamii Forums (JF) ambayo pamoja na wengine ni:

LOWASSA
BANGUSILO
ROSTAM
MGONJA
BALALI

Na wengineo ambao sina haja ya kutaja majina yao.

Sababu kubwa aliyoitoa kwenye barua aliyoandika ni kuwa ameamua kuachia ngazi ili kumpa rais, chama na serikali nafasi ya kuendelea kufanya kazi bila kuwepo kwa distractions ambazo anaona amezisababisha kufuatia mgomo wa madaktari.

Lakini more importantly ni kuwa kuna leaks ambazo zingetolewa kuanzia jumamosi mpaka jumanne wiki ijayo ambazo pamoja na mambo mengine zineweka hadharani risiti za akaunti zake za ndani na nje ya nchi ambazo kwa namna moja au nyingine zingeweza kuteteresha serikali na ingemwia vigumu kupigana na hii vita katika front 2 tofauti.

Hii barua aliyoandika sijapewa ruhusa ya kui attach humu lakini naweza kunukuu kipande ambacho Blandina Noni anasema hivi:

"Dear Mr President,

As you know, since you chose me to take various positions within your Government, I have always placed a great deal of importance on accountability and responsibility. As I said in the meeting with the Prime Minister, Honourable Mizengo Pinda on Monday 30th January 2012, I mistakenly allowed the distinction between my personal interest and my government activities to become blurred. The consequences of this have become clearer in recent days. I am very sorry for this.
You have also repeatedly said that our national interest must always come before personal interest. I now have to hold myself to my own standard. I have therefore decided, with great sadness, to resign from my post as Permanent Secretary of the Ministry of Health and Social Welfare (MOHSW) — a position which I have been immensely proud and honoured to have held.......................................''

Jamani nipeni muda kama nitaruhusiwa kuibandika hii barua hapa au la, lakini eitherway wapiganaji wa JF you wanted your pound of flesh and at last you got it. Sasa cha kujiuliza ni nafasi hii itazibwa na front runner wa hiyo post, Dr Mwele Malecela au ataletwa mtu mwingine?

Napata shaka na hicho kiingereza. Kama cha darasa la nne vile. Lakini kwa sababu serikalini kuna vilaza, nashawishika kuwa kaandika yeye. Labda akimpa secretary au msemaje wake huenda kikatoka kitu kingine!
 
Really,....
So,akijiuzuru then what?
hivi mgomo bado una endelea eh?
 
yasemeni jamani....tunahhitaji kujua....ili hata vizazi vyao viwe kwenye list ya blacklist when we start ukombozi wa tz
 
Hatimaye Mama Blandina Nyoni amejiunga katika timu ya victims wa Jamii Forums (JF) ambayo pamoja na wengine ni:

LOWASSA
BANGUSILO
ROSTAM
MGONJA
BALALI

Na wengineo ambao sina haja ya kutaja majina yao.

Sababu kubwa aliyoitoa kwenye barua aliyoandika ni kuwa ameamua kuachia ngazi ili kumpa rais, chama na serikali nafasi ya kuendelea kufanya kazi bila kuwepo kwa distractions ambazo anaona amezisababisha kufuatia mgomo wa madaktari.

Lakini more importantly ni kuwa kuna leaks ambazo zingetolewa kuanzia jumamosi mpaka jumanne wiki ijayo ambazo pamoja na mambo mengine zineweka hadharani risiti za akaunti zake za ndani na nje ya nchi ambazo kwa namna moja au nyingine zingeweza kuteteresha serikali na ingemwia vigumu kupigana na hii vita katika front 2 tofauti.

Hii barua aliyoandika sijapewa ruhusa ya kui attach humu lakini naweza kunukuu kipande ambacho Blandina Noni anasema hivi:

"Dear Mr President,

As you know, since you chose me to take various positions within your Government, I have always placed a great deal of importance on accountability and responsibility. As I said in the meeting with the Prime Minister, Honourable Mizengo Pinda on Monday 30th January 2012, I mistakenly allowed the distinction between my personal interest and my government activities to become blurred. The consequences of this have become clearer in recent days. I am very sorry for this.
You have also repeatedly said that our national interest must always come before personal interest. I now have to hold myself to my own standard. I have therefore decided, with great sadness, to resign from my post as Permanent Secretary of the Ministry of Health and Social Welfare (MOHSW) - a position which I have been immensely proud and honoured to have held.......................................''

Jamani nipeni muda kama nitaruhusiwa kuibandika hii barua hapa au la, lakini eitherway wapiganaji wa JF you wanted your pound of flesh and at last you got it. Sasa cha kujiuliza ni nafasi hii itazibwa na front runner wa hiyo post, Dr Mwele Malecela au ataletwa mtu mwingine?

Hivi wewe ndugu huna kazi kweliii....kazi kushinda mtandaoni nakuandika majungu,umbea na uzandiki huku ukibadili majina (IDs)....

Ume google na kupata barua aiyoandika Secretary of Defence wa Uingereza na ukaandika kingereza cha kwenu ukasingizia ni barua ya Blandina.

Sote tunakubaliana kama huyu mama anatakiwa ang'atuke...ila inabidi tuwe smart kwenye kutoa hoja zetu.

Faida kidogo....flow ya uandishi wako, your choice of words, tamathali zako za semi..mtu hata hapati taabu kukujua wewe ni nani na hivyo ni rahisi kukutress.

Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom