Blandina Nyoni aula TRA!

Blandina Nyoni aula TRA!

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,152
Sina maelezo marefu katika suala hadi pale nitakapopata gazeti la DIRA ambalo limekuja na habari kwamba Blandina Nyoni ambae alitimuliwa Wizara ya Afya hivi sasa ni mmoja wa Makamishina wa Mamlaka ya Mapato Tanzania huku mshahara wake kwa mwezi ni zaidi ya sh. milioni kumi!

Source: Gazeti la DIRA!
 
They said 12M sir not 10M, si you know she was not fired? she still enjoys a Governement Car, a Driver, and all that goes with such callings am not sure if she is alone... Someone said 'dhaifu'
 
Mkuu hapo hamna kitu ni mbwembwe tu za magazeti. Huyu mama kabla ya kuwa mhasibu mkuu wa Serikali alikuwa mmoja wa makamishna wa TRA.

Kilichofanyika ni kumrudisha tu alikotokea, hakuna jipya hapo!
YES! But i guess aliletwa Afya baada ya kuonekana she's ok! Is she still ok hata baada ya kufanya vibaya Wizara ya Afya? Kama ingekuwa ametoka Afya ktk mazingira ya kawaida, then nisingekuwa na tatizo!
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
 
Mkuu ni kweli kabisa huyu mwanamama anatuhuma nzito sana ambazo bado hazijathibitishwa,na haya yote inasadikiwa aliyafanya akiwa wizara ya Afya!Mimi sioni vibaya yeye kupangiwa kazi eneo jingine wakati bado uchunguzi unaendelea.Ikithibitika bila shaka kuwa hayo yote aliyafanya,basi iwe wakati muafaka wa yeyu kufukuzwa kazi mchana kweupe na kujibu mashitaka yake Mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi yetu!kwa kufanya hivyo haki itakuwa imetendeka!
 
Kanyaga twende, bongo watu wale wale wanapewa ulaji!
 
Mkuu ni kweli kabisa huyu mwanamama anatuhuma nzito sana ambazo bado hazijathibitishwa,na haya yote inasadikiwa aliyafanya akiwa wizara ya Afya!Mimi sioni vibaya yeye kupangiwa kazi eneo jingine wakati bado uchunguzi unaendelea.Ikithibitika bila shaka kuwa hayo yote aliyafanya,basi iwe wakati muafaka wa yeyu kufukuzwa kazi mchana kweupe na kujibu mashitaka yake Mahakamani kwa mujibu wa sheria za nchi yetu!kwa kufanya hivyo haki itakuwa imetendeka!

Uchunguzi gani mkuu? Hamna uchunguzi hapo, upepo umeshapita! Anaungana na Chenge, Jairo, Balali, Ngeleja, nk nk
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.
Aisee! Kumbe mama Brandina ni mpambanaji dhidi ya ufisadi!!! Thx for information!
 
Wasisahau kumtafutia kitengo Dr Deo Mtasiwa, kwa kuwa nae "ALIONEWA"....
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.

"... right direction"?????????????!!!! I don't think so! Did you mean she was leading the Ministry to achieve her own goals?
 
One of the right direction in kuzipa tenda kampuni zake za Mariedo na Mzenzi Contractor?.... Humjui huyu mwizi...
 
huwa naamini sana hii ni nchi matahaira ingekuwa nchi ya watu wenye akili timamu hili lisingewezekana samahanini kwa ukali wa maneno
 
all definitions reflect your comments!
 
Kwani hapo Afya alifanya nini zaidi ya majungu na mapambano na MAFISADI, yeye akiwa upande wa wananchi. huyu ni kama yule Dr. Masau walipigwa vita kwa sababu alitaka kuiweka wizara ktk right direction basi. Take it from ME.

Uliyoyasema ni kweli kabisa huyu mama umakini na uadilifu wake ndio uliomponza; lakini Mungu hamtupi mja wake!!
 
Back
Top Bottom