Blacklion,sunfull and boto tyres

Gajungi

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
257
83
Habari zenu watu,

Naomba ushauri wenu,ninatafuta tairi 195/65R15 na mpaka sasa nimepata blacklion,sunfull na boto kwa budget yangu. Blacklion na boto n 100 000 na 105 000 respectively sunfull bado sijajua bei. Mnanishauri ninunue zipi ?Huwa Nina safari ndefu Mara chache na mostly Natumia mjini
Asanteni
 
Tayari mkuu,
Mkuu mimi Kwakua tairi za kichina nnatumia na nnazikubali sana black lion kwenye gari zangu za mizigo, ki ukweli kabisa sijawahi kujutia wala kuwaza kubadilisha tairi za kampuni nyingine.
 
Mkuu mimi Kwakua tairi za kichina nnatumia na nnazikubali sana black lion kwenye gari zangu za mizigo, ki ukweli kabisa sijawahi kujutia wala kuwaza kubadilisha tairi za kampuni nyingine.
Okay.Hata Mimi naona ni nzuri.Nimepitia reviews nyingi online sijaona negative comments so far.

Boto na sunfull kuna wachache hawazisemi vizuri.
 
Okay.Hata Mimi naona ni nzuri.Nimepitia reviews nyingi online sijaona negative comments so far.

Boto na sunfull kuna wachache hawazisemi vizuri.
Kama hautaki kubeti na pesa yako nakushauri nunua tu huyo simba mweusi.
 
Kweli mkuu,kuna jamaa anauza 105 000,unadhan kuna sehem wanaweza is a chini ya hapo?
Sidhani kama unaweza pata chini ya hapo mkuu
Ila jaribu kuuliza maduka tofauti mtaa wa livingstone unaweza pata discount kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom