Blackbery curve internet.

Blackbery curve internet.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Magenious wa it.blacky berry curve ilikua inaconect net fresh ila nilipoanza tumia line ya voda nyingne inagoma inaandka retry kuconect. Hebu nifanyieni michakato hapo
 
Magenious wa it.blacky berry curve ilikua inaconect net fresh ila nilipoanza tumia line ya voda nyingne inagoma inaandka retry kuconect. Hebu nifanyieni michakato hapo

Je hiyo line ''nyingie'' umeiwezesha kwa kujiunga na vifurushi vya BB?
 
halafu mnakuja kusumbuwa watu kwa mambo ya kijinga, utakuwaje na blackberry halafu usijuwe kama ina package zake?

tulia wewe. Nimepewa hii bb na jamaa yuko mbali.ulitegemea nisiulize au kuulza ni kosa?
 
Back
Top Bottom