blackberry | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

blackberry

Discussion in 'Matangazo madogo' started by paparazi, Jul 25, 2009.

 1. p

  paparazi Member

  #1
  Jul 25, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  blackberry zinauzwa ni 8100 na 8800 bei ipo poa
  contact 0788601211
   
 2. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una maana blackbreyy pearl 8100? imeanza kale ka mchezo ka kuzima na kuwaka nini? maana ndio ugonjwa wake mkubwa! unauza bei gani mkuu?
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Uffss...Ha ha ha ...black berry zaidi ya kuwa na outlook fuction sioni ziadi ya kununua Nokia E71...Ni bora zaidi...kwani sina bussness ya kunikeep busy na outlook.Uffss...JosM ina kamchezo ka kuwaka na kuzima?Tujuze mkuu wengine wasije ingia kwenye mtego.
   
 4. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu unauzaje?
   
 5. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi nilikuwa mpenzi sana wa Blackberry mwaka juzi nilitumishiwa blackberry pearl 8100 niliitumia ndani ya miezi situ tu baada ya hapo ilianza mchezo wa kuzima na kuwaka.Ilifikia kipindi haiwaki kabisa.nilipeleka kwa mafundi bongo wakachemsha,baadae ilitulia yenyewe ikafanya kazi kama kawaidi,nikaiuza kabisa maana niliona ni msala huo.

  Mwaka jana nilinunua Blackberry pearl 8110 ambayo haina tofauti sana na blackberry pearl 8100. Nayo ilianza kusumbua tatizo hilo hilo kuzima na kuwaka ikawa ndio mchezo wake.Nilifuatilia kwenye forums mbali mbali na kuona we zangu nao walikuwa na tatizo kama la kwangu.

  Ila matoleo mengine ya blackberry ni mazuri sana hayana matatizo kama hizi mbili.Mkuu sina nia ya kumuharibia jamaa biashara yake nime zungumza kwa uzoefu wangu na hizo simu nilizo zitaja hapo juu.
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni kuzima na kuwaka. Why utumie subscription nyingine vocha for phone calls na vocha for BB wakati celtel, voda, zantel, tigo wana-GPRS? Huu ni ulimbukeni wa technology. Nunua nokia good price na quality in its operability na unaweza kutumia kwa email etc.

  Tuache hizi na tutaendelea. BB zako kaa nazo watu watatumia nokia bana!
   
Loading...