shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,325
Habari wadau.
Ni vizuri tungepeana maujanja wadau wanaotumia BlackBerry 10 phones hasa kwenye hii update yao mpya walioitoa feb 2015.
Binafsi najiona kama nimenunua simu mpya kwa jinsi my BlackBerry Z30 ilivyobadilika kwenye softwares kila app imekuwa zaidi ya mpya kwangu.
Kiukweli BlackBerry wamenifurahisha sana na hasa airtel kwa kuruhusu update mpema wakati mitandao mingine mikubwa majuu kama verizon,Telus, rutgers canada bado wanalalamikiwa na watumiaji wa BlackBerry majuu ( source malalaniko ya fans kwenye crackberry website) huko kwa kuchelewa kuruhusu update watu waanze download.
BlackBerry fan boys and fan girls njooni nipeni maujanja wa ujio mpya wa BlackBerry 2015 kwa kuzipa uhai kwa os mpya simu zetu za zaman like z10, z30, q10, q5 etc