Blackberry wachemka, BBM Android na iPhone postponed! !

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,692
Reaction score
2,576
Sababu zisizoeleweka zimepekea Blackberry kutotoa BBM kwa ajili ya Android na kuifuta ya iPhone kwenye appstore baada ya kutoka kwa muda mfupi.

Hii inaendeleza tabia ya muda mrefu ya BB kuchemka katika kutoa products na software mpya kulingana na ahadi zao.
 
jamaa angu ana iPhone.....aliidownload jana na hadi sasa hivi inafanya kazi vizuri tu
 
Yeah, kwa iPhone kama uliwahi kudownload sawa ila haipo tena appstore.
 
bb ni kama htc tu wana mipasuko sana ndani hawafanyi kazi as a one team
 
BBM inakuja kupoza whatsapp na kila kitu. Tusubiri

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Iv kwann na instagram isiwepo kwa watumiaji wa blackberry ??
 
kwa hili BB walichemka kwenye android playstore kulikuwa na BBM fake kibao hadi nikashangaa
 
Mkuu huna haja ya kushangaa Playstore kwa apps fake na matakataka wanaongoza
 
Kusema na ukweli dreamfone yangu ni iPhone!! Nilipokua sijapata kazi nilimuona jamaa mmoja hivi Ana iPhone 3G!! Du mshkaji nilimtamania Sana! Nikajiapia kuja kuimiliki Mungu jalia ikatoka iPhone 4 kuja a nikajitosa mwenyewe shop! Kitu kipya nikavuta! Namshukuru Sana Steve job hiisim inaniweka Karibu na dunia wakati wote! Nafurahi hasa wanapotubadilishia iOS6, na sasa tuna 7 kitu make mie niwashauri achaneni BB mwaka wa Tati huu sim Kama nilinunua jana
 
Mkuu hii kwenye sheria tunaita Consensus ad em yaani 'Meeting Of Minds'. Mi mwenyewe naitamani sana iPhone nije kuimiliki. Kuna jamaa wangu anatumia iPhone5 yaan kitu kwanza kipo fasta kwenye net sijawahi ona yani. Nilijaribu kustream youtube video ndio balaa yani kama umedownload vile. One day!
 
why mnapenda kulinganisha uwezo wa kustream bila kunata na aina ya simu? hio ni speed ya mtandao ndio inayofanya hivyo
 
Jaman kwa mliotumia iphone,inakaa na moto kwa muda gan ukiwa kwenye mtandao na usipokuwa inakaa nayo kwa muda gan?
 
Mkuu hii kwenye sheria tunaita Consensus ad em yaani 'Meeting Of Minds'. Mi mwenyewe naitamani sana iPhone nije kuimiliki. Kuna jamaa wangu anatumia iPhone5 yaan kitu kwanza kipo fasta kwenye net sijawahi ona yani. Nilijaribu kustream youtube video ndio balaa yani kama umedownload vile. One day!

Tafuta pesa nunua iPhone hizo bb ni upuuzi tu yaani mie hii kitu unanipa raha muda huu naangalia live streaming from kenya magaidi walifanya Yao!! Mke wangu alikua bbholic nikamnunulia pale Mcity mwaka mmoja tu sim hoi milion ikawa imeenda!
 
Nimetumia aina nyingi ya simu kama vile bb 9900' Htc amaze' LG P930' Lg P970 htc HD7' Htc desire' bb9800: but iphone is what I was looking for. Am using Iphone 4s, is more than mobile phone.
 
Back
Top Bottom