Mi nadhani wabongo wengi tunanuanua BB kama fashion tu. kama unavyoona serikali inavyonunua mashangingi kwa safari za masaki tu posta.
BB ni corporate phone for corporate users . Sasa how many BB owner In Tanzania can call themselves corporate user???? kama watu wangejua concept nzima ya design na reason behind BB watagundua kuw ajap wanaitumia haikuwa Idea ya desinger iwe hivyo
Mkuu unaongea kinyume kabisa, BB ndo most secure mobile phone kama unataka privacy ndo maana zinatumika na makampuni mengi kutunza corporate secrets, nchi zinaibania for the same reason kwa sababu wanausalama hawawezi kusoma msg za watu, hili ni tatizo hata terrorists wa Mumbai walikuwa wanatumia BB na iliwasaidia kuficha mawasiliano.
Kampuni za zote za simu (provider) zinaweza kusoma msg zako, kwa sababu encryption iko kati yako na kampuni, tofauti na BB ambayo unaweza kufanya encryption end to end yaani kati yako na unayeongea nae kitu ambacho kinawanyima hata BB kusoma msg zako.
Mayasa nijuze zaidi kuhusu kitu cha galaxy kuna mtu kanambia hajaniconvice bado, kaisifia galaxy mnoo!
ma corporate samaki samaki? Wacha vidampa sie tukatulie Kempiskihahaa ndo sie ma corporate sasa tupo bize na BB zetu hapa samaki samaki....teeeh
BB haina watumiaji wengi kama unavyofikiri RIM wana only 16% ya soko la smartphone, maana yake hauwezi kuonngea na asilimia 84% ya watu ukiwa unatumia BB messenger au iMessenger.Mkuu tatizo si kuwepo kwa App, tatizo ni vipi App imekubalika, BBM inatamba kwa sababu ina watumiaji wengi, si masuala ya cross platform wala nini. La pili mkuu ni masuala ya vipi app hiyo infanya kazi sidhani kiufanisi unaweza kufananisha What's up na iMessage au BBM.
mkuu ww ndio naona upo kinyume kwani usalama wa bb aukusaidii ww mana kila k2 kipo kwenye server yao na wanauwezo wa kujua nyendo zako zote maongezi unayoongea,msg nk zipo juu sana kiulinzi kiasi kwamba ww kama unatumia unakuwa kama upo kwenye nyumba ya kioo
mi penda sana iphone
:mwaaah::mwaaah:ipad sio simu lakini mimi penda sana hiyo pia..
i just love the blog!Ni kweli kwa sasa Samsung Galxy S2 ndio simu bora Duniani kwa mengi tu, lakini mimi sina haja ya kueleza hawa jamaa wa Gajetek wamemaliza kazi yote: Gajetek - Gajet na Teknolojia: Simu: Kumi Bora (Sehemu 1) Nadhani ukimaliza kusoma makala hii utakubaliana na wale watoa maoni kuwa Galaxy 2 ni namba moja
ma corporate samaki samaki? Wacha vidampa sie tukatulie Kempiski
Kitu samsung galaxy s 2 bana.. hamna cha bb wala nini..
BBM inabagua sana kwa nini usitumie MXit ambayo inakubaliana na smartphone nyingi na ukiangalia functionality is the same.My mxit ID: Mystro10Mkuu tatizo si kuwepo kwa App, tatizo ni vipi App imekubalika, BBM inatamba kwa sababu ina watumiaji wengi, si masuala ya cross platform wala nini. La pili mkuu ni masuala ya vipi app hiyo infanya kazi sidhani kiufanisi unaweza kufananisha What's up na iMessage au BBM.

SPOT ON huo ndio ukweli MKuu, lakini kuna watu watabishi tu.Sio kweli, kwenye BB wewe ndo unacontrol keys za encyption, yaani key zinazotumika kuifunga na kuinfungua msg, hata RIM hawawezi kusoma msg zako kama unatumia keys zako mwenyewe. Hili ndo tatizo lililopelekea kutaka kufungiwa India na sehemu zengine, vyombo vya usalama vinataka kusoma msg za watu na kwenye BB inakuwa ngumu. Pia sio kweli kuwa wanaweza kujua maongezi yako, voice haipiti kwenye server za RIM, inapita kwenye provider wako Voda, Tigo etc. Pia kumbuka kuwa kila provider naweza kusoma msg zako kama hutumii encryption yako mwenyewe Voda wanaweza, Tigo wanaweza.
bibie yani kama vile upo ndani yangu..mm kitu i pone 4 na ipad2 huniambii nenohapami penda sana iphone