Blackberry ombi la msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blackberry ombi la msaada

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ablood8, Jul 19, 2012.

 1. a

  ablood8 Senior Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Jamaa wadau naomba naeombeni msaada blackberry yangu Bold 9780 mpya nimenunua,ila ina tatizo la kujizima na kujiwasha,mwenye ujuzi anijuze!
   
 2. e

  elank54 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmh!! Use tgo line mayb
   
 3. S

  Swash Bizo Senior Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ninauza battery za blackberry...................nipm
   
 4. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ujafafanua tatizo la simu yako vizuri.

  Je inajizima mda wote au ni kila baada ya 10/30 au baada ya mda gani.


  Je kuna software yoyote umeingiza hivi karibuni?

  BB yako ina run OS ipi?
   
 5. a

  ablood8 Senior Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Inajizima muda wowote tu haina formula maalumaa,software sijui ila kuna ile niliyonunua nayo simu inaitwa blackberry desktop software ndo nili update nayo.
  Pia kuna jamaa aliniingiazia whatsApp bas kuhusu OS sijakuelewa kamanda.
   
 6. a

  ablood8 Senior Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  mkuu hii inahusiana na tatizo langu?
   
 7. a

  ablood8 Senior Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Bizo hii inaweza ndo ikawa tatizo? Maana natumia line ya Tigo
   
 8. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Iridishe ulikonunua mkuu vinginevyo imekula kwako.

  Sent using Tapatalk 2
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  umeinunua na kukuta ina hilo tatizo au kuna kitu umeinstall ndio ikaanza kujizima?

  Mara nyingi ni tatizo la os, piga chini kwa ku upgrade au downgrade then upgrade tena
   
 10. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Jaribu kui upgrade kwa kutumia desktop manager(computer yako ikiwa conected na internet) kama tatizo litaendelea ata baada ya kuiupgrade then itakuwa ni hardware problem hapo utaitajika kuipeleka kwa fundi au kama ina warranty rudisha ulipoinunua wakupatie replacement
   
 11. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hapo penye red, inawezekana kabisa ndipo tatizo lilipoanzia maana version yingine za Operating System(OS) nyingine aziko stable na zinakuwaga na bugs nyingi tu kama inavyotokea kwenye simu yako sasa.....Nakushauri u-
  downgrade OS yako na kurudisha iliyokuwepo...

  Download OS 6 ambayo ni stable sana na inakaa na charge sana tofauti na OS7.unaweza kuipata hapa....
  https://swdownloads.blackberry.com/Downloads/browseSoftware.do;jsessionid=42FED5A3FD761C14DF042889A46213FC.node1
   
 12. a

  ablood8 Senior Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Mkuu nashukuru kwa ushauri nitairudisha
   
 13. N

  Ngalewa Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaman pia mim nina blackberry yangu tatizo lake kuna mtu milimwachia akawa anachat kwenye net sasa ikazima yenyewe af now nikiwasha ina load inafka sehem haiendelei kabisa kuna firmware nilidownload ila nikiconnect kwenye PC hai detect kabisa mana haiwaki ikamaliza
   
 14. k

  kicha JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  wakuu namie tatizo langu ni network inakaa sos mda wote, nimemaliza njia zote mpaka kuapgred but bado, nahisi kama inahusiana na hardware so inawezekana kutengenezeka kweli?
   
 15. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Mnara wa network unapanda mpaka juu..?

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 16. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Ipeleke kwa mtaalam ikaflashiwe hiyo..


  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
Loading...