Mkuu jitahidi ku-unstall unwanted/unused programs inaonyesha haina memory kabisa cha msingi fanya hard reseting toa battery acha kama dakika 5 hv then ingiza battery!
Kweli chomoa ktk Pc halafu utoe betri icharge tena kwani betri za BlackBerry ikiwa nzima lazima inajiwasha yenyewe na utapata mawasiliano toka ofisi zao BB
Nashauri na mm pia mPm dr Phone au Calvin Power
kuhusu kuchomoa betri nshafanya. Nilitoa betri usiku nkaiweka asubuhi, hakuna kilichobadilika. Nahisi ni virus lakini uwa naitumia na pc yangu tu, na pc yangu ni virus free. Possibly ni low memory, nilitaka kufanya hard reset ila procedure ndo sijui