Hi wana IT nina Ndugu yangu anatumia blackberry curve sasa ile button ya katikati ya kuserch imestuck ivyo kama anataka kusearch jina la mtu ili ampigie simu hawezi wala kusearch kitu chochote kile haiwezekaniki sababu imestuck..nini solution juu ya tatizo hili??
Button nyingine zinafanya kazi isipokua iyo search button tu
Ahsanteni