Blackberry Bold 9900

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,813
22,915
Wataalamu hebu nipeni maujuzi,nimenunua Blackberry bold 9900 kuna mtu kaniambia kuwa ninaweza nikaifanyia settings ambapo mtu aki iba ninaweza kuipata pale alipo,hii inakuwaje,mwenye kufahamu ani fafanulie tafadhali.
 
Download ant Theft security or blackberry protect frm App World ! Cjawahi fanyia testing ila ndo kazi zake izo mkuu
 
kuna kampuni inafanya hayo mambo kwenye phone hata laptop now wapo Dar cjui kama wamefika mikoa mingine but cjajua kama kuna program unaweza ukadownlod...
 
Wakuu wangu naomba kuchangia au kuingilia hii topic kwanza mkuu, uliyeanzisha huu uzi mimi before nilikuwa natumiaga Blackberry protect icheck hiyo ni nzuri sana na itakusaidia sana,

NB me tatizo langu ni kwamba hii blackberry protect before nilikuwa nadownload ilikuwa email yangu inaonekana ila now siince ni upgrade inaonekana hii email kwenye picha, kwa kweli sina mood ya kuitumia naona kama sipo safe maana kwanza sijui hii email imetoka wapi wakati sio yangu yaani nikimaliza tu kudownload nikiicheck inaonekana hiyo email sijui ya nani aisee yaani naona kama sipo safe hata kidogo
 

Attachments

  • CaptureNux 2012-07-13 22.13.488.jpg
    CaptureNux 2012-07-13 22.13.488.jpg
    19 KB · Views: 21
Nyingine hii hapa......hapo kwenye email kulikuwa na email yangu ila now inaonekana hivyo.
 

Attachments

  • CaptureNux 2012-07-13 22.26.580.jpg
    CaptureNux 2012-07-13 22.26.580.jpg
    20.7 KB · Views: 25

Similar Discussions

Back
Top Bottom