blackberry bold 9700

security

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
322
Reaction score
75
wataalam naomba msaada wenu, natumia blackberry hio hapo juu. mwezi wa pili sasa ukiiwasha inatoa mwanga mweupe tu bila chochote cha maana. mwanzo nilidhani ni lcd nikanunua nyingine bei yake ni 75000 lakini bado tatizo limeng'ang'ana. hela yangu inaniuma sana. kwa sasa natumia tecno p5 lakini bb yangu bado naipenda. kama kuna anayejua namna ya kutatua hili tatizo naomba anisaidie. mtu akikupigia mawasiliano yapo kama kawaida.
 
Nashukuru privacy endelea kunisaidia.
 
Kama nikiiflashi inaweza kusaidia mkuu?
 
chakufanya download os ya cm yako then install kisha then delete vendor.xml kisha open loader toa bettry kisha connect na computer yako ikisoma bonyeza next ikifika kwenye waiting for the device to initialize weka betty acha imalize ku install kama huwezi n pm nikuelekeze kwa picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…